MWAKALINGA AWATATAKA MAKANDARASI KUTUMIA TAARIFA ZA TMA
![](https://1.bp.blogspot.com/-GEPjoAh-e4k/XlEV4UzQ2tI/AAAAAAALe0g/qA1t5Cp0LgsuJIXiLeWbd3IpbbynSOYDwCLcBGAsYHQ/s72-c/1-47-1024x782.jpg)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mbunifu Majengo, Elius Mwakalinga, akitoa maelekezo kwa Mhandisi Mshauri wa Kampuni ya Igis anayesimamia mradi wa ujenzi wa barabara ya Tabora – Koga – Mpanda sehemu ya Koga – Kasinde (Km 112), mkoani Katavi.
Mkandarasi kutoka kampuni ya China Wu Yi, Mhandisi David Kipiki, akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mbunifu Majengo, Elius...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziMWAKALINGA AWATAKA MAKANDARASI KUTUMIA TAARIFA ZA TMA
Mkandarasi kutoka kampuni ya China Wu Yi, Mhandisi David Kipiki, akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mbunifu Majengo, Elius Mwakalinga (WaTatu Kulia), alipokuwa akikagua Daraja la Mto Koga, mkoani Katavi.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mbunifu Majengo, Elius Mwakalinga, akitoa maelekezo kwa Mhandisi Mshauri wa Kampuni ya Igis anayesimamia mradi wa ujenzi wa barabara ya Tabora - Koga -...
11 years ago
Tanzania Daima07 Jan
Wananchi wahamasishwa na taarifa TMA
IMEELEZWA hamasa ya wananchi kupata taarifa ya hali ya hewa imeongezeka baada ya majanga yanayotokea baharini. Kaimu Mkuu wa Shughuli za Hali ya Hewa kituo cha Zanzibar, Hafidhi Bakari, alibainisha...
11 years ago
Habarileo20 Apr
TMA: Msidharau taarifa za hali ya hewa
WATANZANIA wametakiwa kutodharau tafiti na taarifa, zinazotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), kwani mabadiliko ya mara kwa mara ya hali ya hewa yanayotokea yanaweza kuleta madhara.
11 years ago
Mwananchi10 Feb
TMA kubadili mbinu utoaji taarifa
9 years ago
Habarileo19 Dec
TMA yaahidi kutoa taarifa sahihi
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema kuwa itaendelea kuboresha utoaji wa taarifa za hali ya hewa nchini kwa kutoa taarifa sahihi na zenye ubora.
11 years ago
MichuziMWENYEKITI WA ALAT MKOA WA DODOMA AFURAHISHWA NA JUHUDI ZA TMA KATIKA KUWAPATIA WAKULIMA TAARIFA ZA HALI YA HEWA
11 years ago
GPLTMA KUKUTANA NA WANAHABARI KESHO, KUTOA TAARIFA YA MWELEKEO WA HALI YA HEWA KWA MWEZI JANUARI NA FEBRUARI 2014
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-FZCJJNchPhQ/VfGWLitLS7I/AAAAAAAH33U/Jy5u9XyrYqQ/s72-c/images.jpg)
TAARIFA KWA UMMA:MATAPELI KUTUMIA JINA LA KAMPUNI
![](http://2.bp.blogspot.com/-FZCJJNchPhQ/VfGWLitLS7I/AAAAAAAH33U/Jy5u9XyrYqQ/s1600/images.jpg)
Kufuatia wimbi la Matapeli kutumia jina la kampuni wakidai kuwa wao ni wafanyakazi wa STAMIGOLD wenye uwezo wa kutoa ajira katika mgodi wa Biharamulo , kampuni ingependa kuchukua fursa hii kuutahadharisha Umma wa Watanzania kama ifuatavyo:
1. Nafasi zote za ajira zilizopo au zinazotokea katika kampuni hutangazwa kupitia magazeti ya Serikali hususani Daily news.
2. Kampuni haina utaratibu wa kufanya usaili (Interview) kwa njia ya simu.
3. Maeneo...
5 years ago
CCM BlogWAPIGA KURA KUHAKIKI BURE TAARIFA ZAO KWA KUTUMIA SIMU,TOVUTI
Na Richard Mwaikenda
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imeanisha njia tatu za Mpiga Kura kumwezesha kuhakiki kirahisi taarifa zake katika Daftari la...