Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sumaye: Viongozi Afrika acheni utegemezi

WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amewataka viongozi wa Afrika, kuacha tabia ya kutegemea nchi tajiri, kugharimia mipango ya maendeleo zao. Badala yake, ametaka viongozi wawe wabunifu wa kuandaa mipango ya kuondoka kwenye utegemezi uliokithiri.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Sumaye awaasa viongozi Afrika

WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, amewaasa viongozi wa nchi za Afrika kutumia rasilimali walizonazo na fursa zinazojitokeza kujikwamua kiuchumi. Sumaye alitoa wito huo jana nchini Marekani, katika Chuo Kikuu cha Elizabeth...

 

10 years ago

Tanzania Daima

UFISADI NA UTEGEMEZI: Kilio cha viongozi wapumbavu

NI ukweli usio na shaka kwamba, Tanzania ni nchi inayotegemea wahisani, wafadhili, na wale wanaoitwa wabia wa maendeleo. Kwa jinsi hiyo, na kwa namna ya utegemezi; Tanzania inategemea usaidizi wa...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AJIUNGA NA VIONGOZI WENGINE WA AFRIKA KATIKA MKUTANO WA VIONGOZI WA AFRIKA NA MAREKANI JIJINI WASHINGTON DC

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Ikulu ya Marekani (White House) jijini Washington DC kwa dhifa ya Kitaifa waliyoandaliwa viongozi wa Afrika na mwenyeji wao Rais Barak O bama.  Rais Jakaya Kikwete na viongozi wenzake wa Afrika katika mkutano wa Viongozi wa Afrika na Marekani  ambao umefunguliwa na Rais Barak Obama katika ukumbi wa State Department jijini Washington DC.… ...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AJIUNGA NA VIONGOZI WENGINE WA AFRIKA KATIKA MKUTANO WA VIONGOZI WA AFRIKA NA MAREKANI JIJINI WASHINGTON DC LEO

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Ikulu ya Marekani (White House) jijini Washington DC kwa dhifa ya Kitaifa waliyoandaliwa viongozi wa Afrika na mwenyeji wao Rais Barak Obama Julai 5, 2014. Rais Jakaya Kikwete na viongozi wenzake wa Afrika katika mkutano wa Viongozi wa Afrika na Marekani  ambao umefunguliwa na Rais Barak Obama katika ukumbi wa State Department jijini Washington DC  leo Julai 6, 2014.  Sehemu ya wajumbe wa Mkutano wa Viongozi wa Afrika...

 

10 years ago

Habarileo

JK- Viongozi acheni udalali wa ardhi

RAIS Jakaya Kikwete amewaonya viongozi wa ngazi mbalimbali nchini, wakiwemo wa Halmashauri kuacha mara moja tabia ya kujigeuza kuwa madalali wa kuuza mapori ya ardhi, bali wazingatie suala la umuhimu wa kuweka akiba kwa ajili ya vizazi vijavyo.

 

10 years ago

Habarileo

'Viongozi wa dini acheni siasa'

KAMANDA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Arusha, Philemon Mollel amewataka viongozi wa madhehebu ya dini nchini kuacha kujiingiza kwenye masuala ya kisiasa badala yake wahubiri amani.

 

11 years ago

Habarileo

‘Viongozi wa vyama acheni malumbano’

VIONGOZI wa vyama vya siasa nchini, wametakiwa kuacha malumbano ndani ya vyama vyao hali inayoathiri jamii hususani taasisi za dini. Hayo yalisemwa jana na Kiongozi wa baraza la mashehe wilaya ya Arumeru, Haruna Husein wakati akizungumza katika kongamano la kuchangia fedha kwa ajili ya Radio Umoja FM lililofanyika mjini hapa.

 

11 years ago

Habarileo

'Viongozi wa dini acheni kugawa waumini'

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Uwezeshaji na Uwekezaji, Dk Merry Nagu ameasa viongozi wa dini zote nchini, kutowagawa waumini wao kwa misingi ya vyama vyao.

 

11 years ago

Habarileo

'Viongozi CCM acheni kuwaza urais'

VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Zanzibar wametakiwa kuacha kuwaza kinyang’anyiro cha urais mwakani badala yake waelekeze nguvu zaidi katika kazi ya kutafuta wapiga kura wapya kuhakikisha chama hicho kinashinda uchaguzi mkuu ujao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani