Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UFISADI NA UTEGEMEZI: Kilio cha viongozi wapumbavu

NI ukweli usio na shaka kwamba, Tanzania ni nchi inayotegemea wahisani, wafadhili, na wale wanaoitwa wabia wa maendeleo. Kwa jinsi hiyo, na kwa namna ya utegemezi; Tanzania inategemea usaidizi wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Sumaye: Viongozi Afrika acheni utegemezi

WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amewataka viongozi wa Afrika, kuacha tabia ya kutegemea nchi tajiri, kugharimia mipango ya maendeleo zao. Badala yake, ametaka viongozi wawe wabunifu wa kuandaa mipango ya kuondoka kwenye utegemezi uliokithiri.

 

10 years ago

Michuzi

Kilio cha Mdau juu ya ushuru unaolipishwa katika kituo kikuu cha mabasi Ubungo

Salam kwako Ankal na timu nzima ya Globu ya Jamii,
Tunawapongeza sana kwa kazi nzuri mnayoendelea kuifanya ya kutujuza mambo mbali mbali yanayoendelea hapa nchini na nje ya mipaka ya nchi yetu,tunawapa BIGI APU sana kwa kweli.
Kupitia libeneke la Globu ya Jamii,naomba nifikishie kero yangu hii kwa wahusika wa Halmashauri ya Jiji,maana leo nilifika pale kwenye stendi kuu ya mabasi (Ubungo Bus Terminal) na kukutana na  utaratibu wa kulipisha kiasi cha sh. 300 ikiwa ni gharama ya maegesho ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Barabara ya Ndundu-Somanga yakamilika kwa kiwango cha Lami kilio cha watu wa mikoa ya kusini kwisha

Sehemu ya barabara ya Ndundu –Somanga(KM 60) iliyokamilika kwa kiwango cha lami.Wanahabari wakimhoji Dereva wa basi la abiria kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam kuhusiana na kukamilika kwa sehemu ya barabara hiyo.Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Musa Iyombe akikagua sehemu ya barabara ya Ndundu –Somanga(KM 60) iliyokamilika kwa kiwango cha lami.
Ukaguzi wa barabara hiyo ukiendelea kama inavyoonekana.Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Musa Iyombe akiteremka kukagua tuta la barabara ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Buhari awaonya viongozi dhidi ya ufisadi

Rais mpya nchini Nigeria Muhammadu Buhari amewaambia magavana kuwa siku za matumizi mabaya ya fedha zimekwsha.

 

10 years ago

BBCSwahili

Viongozi 175 waliotuhumiwa kwa ufisadi watajwa

Jumla ya viongozi wakuu serikalini 175 wametajwa katika bunge la Kenya orodha iliyotolewa na rais Uhuru Kenyatta iliposomwa hadharani

 

10 years ago

Habarileo

Malasusa ahimiza viongozi nchini kuacha ufisadi

Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa UFISADI uliokithiri umeelezwa kuchangiwa kwa kiwango kikubwa na woga wa viongozi kwa kushindwa kuwachukulia hatua stahiki watuhumiwa wa matukio ya ufisadi nchini.

 

9 years ago

Mtanzania

Mkapa: Wapumbavu… malofa

1Rais wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, alipopata wasaa wa kuhutubia maelfu ya wanachama wa CCM waliokuwa uwanjani hapo, alirusha kijembe kwa wapinzani na kusema wanaosema wanatafuta ukombozi ni wapumbavu na malofa.

“Kuna vyama vinajifanya vinataka kuleta ukombozi, ukombozi uliletwa na ASP na Tanu, hao wanaojiita vyama vya ukombozi ni wapumbavu, … ni malofa, nchi hii ilikwisha kombolewa na sasa inaendelea kuiomboa kwa kupambana ana umasikini, ujinga na maradhi na ndo kazi imekuwa ikifanywa na...

 

10 years ago

Vijimambo

KILIO CHA ALBINOS TANZANIA

Wanachama wa chama cha maalbino wakitembelea kisiwani ambako wanaishi walemavu wa ngozi
Mtobi Namigambo, ni mvuvi anayeuza samaki, amekaa kwa utulivi nje ya nyumba yake ya matope katika kisiwa cha ukerewa mahali ambapo zamani palikuwa makao ya albino lakini kwa sasa si hivyo. Mtoto wake wa miaka nne May Mosi ameketi kwenye paja lake akionyesha umarufu wake wa hisabati kwa kuhesabau moja hadi kumi kwa ujasiri.
Mara kwa mara Mtobi anamtazama mke wake, Sabina, ambaye ameketi kwa mkeka kando yake...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kilio cha Albino Tanzania

Kisiwa cha Ukerewa ni hifadhi kwa Albino ambao maisha yao yamo hatarin kutokana na imani potovu kwamba viungo vya Albino vinaleta utajiri

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani