Buhari awaonya viongozi dhidi ya ufisadi
Rais mpya nchini Nigeria Muhammadu Buhari amewaambia magavana kuwa siku za matumizi mabaya ya fedha zimekwsha.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV01 Sep
Magufuli awaonya maafisa wanaoendeleza ufisadi
Wakati akampeni za kuelekea uchaguzi mkuu ambao unatarajiwa kufanyika octoba 25 mwaka huu Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi John Pombe Magufuli ametoa onyo kali kwa maafisa walio katika taasisi za serikali na halmashauri mbalimbali nchini wanaoendeleza na kufumbia,macho maswala ya,Rushwa na vitendo vya ufisadi na kuwa kikwa kwa maendeleo.
Magufuli ambaye ni mgombea Urais kwa tiketi ya chama cha mapinduzi CCM ambaye pia ni waziri wa Ujenzi ametoa kauli hiyo wakati akiwahutubia...
10 years ago
Mtanzania13 Apr
Kikwete awaonya viongozi wa dini
Na Kadama Malunde, Shinyanga
RAIS Jakaya Kikwete amewataka viongozi wa dini kutoruhusu siasa kufanyika kwenye makanisa yao kwani hali hiyo italifanya taifa liingie kwenye machafuko.
Aliyasema hayo jana wakati wa ibada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa Askofu mpya wa Kanisa Katoliki Jimbo la Shinyanga, Liberatus Sangu, iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Mama Mwenye Huruma la Ngokolo mjini hapa na kuongozwa na Askofu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Kardinali Polycarp Pengo.
Rais Kikwete...
10 years ago
BBCSwahili28 Jul
Obama awaonya viongozi wa Afrika
10 years ago
Mtanzania28 May
Zitto awaonya viongozi ACT-Wazalendo
Na Aziza Masoud, Dar es Salaam
KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ameionya sekretarieti ya uongozi wa chama hicho na kuitaka kuishi kwa maadili kwa kuzingatia katiba ya chama na kuitekeleza kwa vitendo.
Amesema uadilifu umekuwa ni changamoto kubwa katika nchi hali inayowafanya watanzania washindwe kuaminiana katika masuala mbalimbali.
Kauli hiyo aliitoa Dar es Salaam juzi alipofungua mkutano wa kwanza wa sekretarieti ya uongozi wa chama hicho.
Alisema iwapo watashindwa kuishi...
11 years ago
Habarileo25 Feb
Balozi Seif awaonya viongozi Jumuiya za CCM
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Balozi Seif Ali Iddi, amesema Kamati Ndogo ya Maadili ya chama hicho, itawang’oa viongozi wote wa jumuiya za chama hicho, wanaoshirikiana na walioanza kampeni za urais kabla ya muda.
10 years ago
Habarileo06 Apr
Mchungaji wa EAGT awaonya wanaopigia kampeni viongozi
MCHUNGAJI Bosco Maliga wa Kanisa la EAGT Majohe mji mpya Dar es Salam amewataka Watanzania kuyaogopa kama ukoma makundi ya watu wanaowapigia kampeni watu wengine ili wachaguliwe kuwa viongozi.
9 years ago
Bongo529 Sep
Dully Sykes awaonya watu kuacha kukashifu viongozi wa siasa
9 years ago
Raia Mwema10 Dec
Vita dhidi ya ufisadi itafanikiwa tukiuchukia
VITA inayopiganwa sasa dhidi ya ufisadi ni muhimu sana na imeleta tija kubwa.
Njonjo Mfaume
11 years ago
BBCSwahili01 Jun
Madai ya ufisadi dhidi ya FIFA yatolewa