Mchungaji wa EAGT awaonya wanaopigia kampeni viongozi
MCHUNGAJI Bosco Maliga wa Kanisa la EAGT Majohe mji mpya Dar es Salam amewataka Watanzania kuyaogopa kama ukoma makundi ya watu wanaowapigia kampeni watu wengine ili wachaguliwe kuwa viongozi.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili28 Jul
Obama awaonya viongozi wa Afrika
10 years ago
Mtanzania13 Apr
Kikwete awaonya viongozi wa dini
Na Kadama Malunde, Shinyanga
RAIS Jakaya Kikwete amewataka viongozi wa dini kutoruhusu siasa kufanyika kwenye makanisa yao kwani hali hiyo italifanya taifa liingie kwenye machafuko.
Aliyasema hayo jana wakati wa ibada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa Askofu mpya wa Kanisa Katoliki Jimbo la Shinyanga, Liberatus Sangu, iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Mama Mwenye Huruma la Ngokolo mjini hapa na kuongozwa na Askofu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Kardinali Polycarp Pengo.
Rais Kikwete...
10 years ago
Mtanzania28 May
Zitto awaonya viongozi ACT-Wazalendo
Na Aziza Masoud, Dar es Salaam
KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ameionya sekretarieti ya uongozi wa chama hicho na kuitaka kuishi kwa maadili kwa kuzingatia katiba ya chama na kuitekeleza kwa vitendo.
Amesema uadilifu umekuwa ni changamoto kubwa katika nchi hali inayowafanya watanzania washindwe kuaminiana katika masuala mbalimbali.
Kauli hiyo aliitoa Dar es Salaam juzi alipofungua mkutano wa kwanza wa sekretarieti ya uongozi wa chama hicho.
Alisema iwapo watashindwa kuishi...
10 years ago
BBCSwahili23 Jun
Buhari awaonya viongozi dhidi ya ufisadi
11 years ago
Habarileo25 Feb
Balozi Seif awaonya viongozi Jumuiya za CCM
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Balozi Seif Ali Iddi, amesema Kamati Ndogo ya Maadili ya chama hicho, itawang’oa viongozi wote wa jumuiya za chama hicho, wanaoshirikiana na walioanza kampeni za urais kabla ya muda.
9 years ago
Bongo529 Sep
Dully Sykes awaonya watu kuacha kukashifu viongozi wa siasa
11 years ago
Habarileo28 Apr
Mchungaji ahimiza viongozi kudumisha Muungano
VIONGOZI nchini wamehimizwa kutimiza wajibu wao wa kutendea taifa haki kwa kudumisha Muungano, amani na mshikamano na kulipatia katiba bora, inayotokana na maoni ya wananchi.
11 years ago
GPLMCHUNGAJI MSIGWA KWA NILIYOFANYA, SIHITAJI KAMPENI 2015
10 years ago
Mtanzania12 Aug
Mchungaji: Tusichague viongozi kwa itikadi za siasa
NA ELIYA MBONEA, ARUSHA
KANISA la Babtist Tanzania limesema katika kipindi cha kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, mwaka huu Watanzania wanatakiwa kuchagua kiongozi mwenye uwezo wa kuwatumikia wananchi bila kuangalia itikadi, kabila wala dini yake.
Kauli hiyo ilitolewa na Mwangalizi Mkuu wa Makanisa ya Babtist Tanzania, Mchungaji Anord Manase, wakati alipofungua kongamano la wanawake wa Kibabtisti nchini lililofanyika Chuo Kikuu cha Mount Meru wilayani Arumeru mkoani hapa.
Akizungumza katika...