KILIO CHA ALBINOS TANZANIA
Wanachama wa chama cha maalbino wakitembelea kisiwani ambako wanaishi walemavu wa ngozi
Mtobi Namigambo, ni mvuvi anayeuza samaki, amekaa kwa utulivi nje ya nyumba yake ya matope katika kisiwa cha ukerewa mahali ambapo zamani palikuwa makao ya albino lakini kwa sasa si hivyo. Mtoto wake wa miaka nne May Mosi ameketi kwenye paja lake akionyesha umarufu wake wa hisabati kwa kuhesabau moja hadi kumi kwa ujasiri.
Mara kwa mara Mtobi anamtazama mke wake, Sabina, ambaye ameketi kwa mkeka kando yake...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili10 Dec
Kilio cha Albino Tanzania
10 years ago
MichuziKilio cha Mdau juu ya ushuru unaolipishwa katika kituo kikuu cha mabasi Ubungo
Tunawapongeza sana kwa kazi nzuri mnayoendelea kuifanya ya kutujuza mambo mbali mbali yanayoendelea hapa nchini na nje ya mipaka ya nchi yetu,tunawapa BIGI APU sana kwa kweli.
Kupitia libeneke la Globu ya Jamii,naomba nifikishie kero yangu hii kwa wahusika wa Halmashauri ya Jiji,maana leo nilifika pale kwenye stendi kuu ya mabasi (Ubungo Bus Terminal) na kukutana na utaratibu wa kulipisha kiasi cha sh. 300 ikiwa ni gharama ya maegesho ya...
10 years ago
Vijimambo18 Jan
Barabara ya Ndundu-Somanga yakamilika kwa kiwango cha Lami kilio cha watu wa mikoa ya kusini kwisha
10 years ago
Michuzi08 Sep
10 years ago
BBCSwahili16 Dec
Kilio cha wanafunzi Pakistan
10 years ago
Tanzania Daima13 Nov
Tamwa: Tumesikia kilio cha walemavu
MACHI, mwaka 1988 Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (Tamwa) kilizindua jarida linalojulikana ‘Sauti ya Siti’. Jarida hili lilikuwa na lengo la kuandika habari za wanawake ambazo zilikuwa hazitolewi...
11 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Marubani wazawa na kilio cha ajira
11 years ago
BBCSwahili14 Apr
Wahoji kilio cha Pistorius mahakamani
10 years ago
Habarileo13 Dec
Serikali yashangazwa na kilio cha sukari
SERIKALI imesema inashangazwa na madai ya kurundikana kwa bidhaa ya sukari kwenye maghala wakati ipo mikoa yenye uhaba wa sukari.