Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Marubani wazawa na kilio cha ajira

p>KILIO cha ukosefu wa ajira kimezidi kushamiri nchini, kwani wataalamu wa fani mbalimbali wamekuwa wakipaza sauti juu ya kukosekana kwa ajira. Baadhi ya wataalamu katika sekta mbalimbali wamekuwa wakilalamikia kutengwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Serikali yasikia kilio cha ajira kwa vijana

Vijana zaidi ya 1,000 kutoka katika vikundi 36 katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa wanatarajiwa kupewa maeneo ya kilimo na Serikali ili kuwainua kiuchumi.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

TANCOAL yatoa asilimia 80 ya ajira kwa wazawa



NA JANE MIHANJI, SONGEAKAMPUNI ya uchimbaji makaa ya mawe ya TANCOAL, imesema inalipa ushuru na mrabaha kwa serikali wa sh. bilioni mbili na kutoa asilimia 80 ya ajira kwa wazawa. Hayo yalisemwa jana na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Mgodi wa Makaa ya Mawe wa Ngaka, Tarn Brereton, alipokuwa akitoa maelezo ya maendeleo ya mgodi huo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi. Alisema mbali na mrabaha, kampuni hiyo ambayo inaendeshwa kwa pamoja na Shirika la Maendeleo la Taifa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Manongi akishauri Chama cha Marubani

CHAMA cha Marubani nchini kimeshauriwa kujikita kwenye misingi  ya uanzishwaji wake badala ya kufanya kazi za wanaharakati. Ushauri huo ulitolewa jijini Dar es Salaam jana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka...

 

11 years ago

Dewji Blog

Jerry Silaa aifagilia MeTL GROUP kwa kukuza Uchumi na kuongeza ajira kwa wazawa

DSC_0552

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa akiwasili kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yanayoendelea katika viwanja vya maonesho vya Mwalimu J.K. Nyerere,  barabara ya Kilwa, jijini Dar.

Na Mwandishi wetu

Mstahiki Meya wa manispaa ya Ilala, Jerry Silaa ameipongeza makampuni yaliyochini ya Kundi la METL kwa kuhakikisha ajira kwa watanzania na soko la mali ghafi kwa wakulima wa bidhaa mbalimbali nchini.

Silaa alisema hayo jana wakati alipotembelea banda la...

 

11 years ago

GPL

JERRY SILAA AIFAGILIA METL GROUP KWA KUKUZA UCHUMI NA KUONGEZA AJIRA KWA WAZAWA‏

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa akiwasili kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yanayoendelea katika viwanja vya maonesho vya Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar. Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa akisaini kitabu cha wageni kwenye ofisi za Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania, TANTRADE kwenye viwanja vya maonesho ya Sabasaba mara...

 

10 years ago

Michuzi

Kilio cha Mdau juu ya ushuru unaolipishwa katika kituo kikuu cha mabasi Ubungo

Salam kwako Ankal na timu nzima ya Globu ya Jamii,
Tunawapongeza sana kwa kazi nzuri mnayoendelea kuifanya ya kutujuza mambo mbali mbali yanayoendelea hapa nchini na nje ya mipaka ya nchi yetu,tunawapa BIGI APU sana kwa kweli.
Kupitia libeneke la Globu ya Jamii,naomba nifikishie kero yangu hii kwa wahusika wa Halmashauri ya Jiji,maana leo nilifika pale kwenye stendi kuu ya mabasi (Ubungo Bus Terminal) na kukutana na  utaratibu wa kulipisha kiasi cha sh. 300 ikiwa ni gharama ya maegesho ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Barabara ya Ndundu-Somanga yakamilika kwa kiwango cha Lami kilio cha watu wa mikoa ya kusini kwisha

Sehemu ya barabara ya Ndundu –Somanga(KM 60) iliyokamilika kwa kiwango cha lami.Wanahabari wakimhoji Dereva wa basi la abiria kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam kuhusiana na kukamilika kwa sehemu ya barabara hiyo.Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Musa Iyombe akikagua sehemu ya barabara ya Ndundu –Somanga(KM 60) iliyokamilika kwa kiwango cha lami.
Ukaguzi wa barabara hiyo ukiendelea kama inavyoonekana.Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Musa Iyombe akiteremka kukagua tuta la barabara ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kilio cha wanafunzi Pakistan

Vikosi vya usalama nchini Pakistan vinasema vimeweza kudhibiti shule iliyovamiwa na wapiganaji wa Taliban katika jimbo la Peshawar Kaskazini Magharibi mwa Pakistan.

 

10 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani