Zitto azitaka fainali za Afrika 2017
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe ameishauri Serikali isiache nafasi adimu ya kuandaa fainali za Mataifa ya Afrika 2017 (Afcon) baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuliomba Shirikisho la Soka Afrika (Caf) kuwa mwenyeji.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili08 Apr
Nani kuandaa fainali za Afcon 2017?
10 years ago
Mtanzania13 Apr
Sumaye azitaka nchi za Afrika kujipanga upya
New York, Marekani
NCHI za Afrika zimetakiwa kujipanga upya na kuongeza ushirikiano miongoni mwao ili kutumia zaidi masoko yao ya ndani badala ya kutegemea ya nje yenye ushindani mkubwa na hata ukatili.
Rai hiyo imetolewa na Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye wakati akihutubia Mkutano Mkuu wa 12 wa mwaka wa kujadili masuala ya uchumi wa Afrika uliofanyika Chuo Kikuu cha Columbia jijini New York, Marekani jana.
Alisema nchi nyingi za Afrika zimekuwa zikifanya biashara zaidi na nchi za...
10 years ago
BBCSwahili11 Jun
Kombe la mataifa ya Afrika 2017
10 years ago
Mwananchi29 Sep
MAONI: Serikali za Afrika Mashariki zipiganie Afcon 2017
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-urc-CtGTM7Y/VWL0Mwtpn_I/AAAAAAAHZp0/M3-O-zX1TXY/s72-c/1.jpg)
JAJI AUGUSTINO RAMADHANI AHIMIZA AFRIKA KUHESHIMU HAKI ZA BINADAMU,AZITAKA NCHI ZAIDI KUTOA TAMKO LA KUITAMBUA MAHAKAMA HIYO
![](http://3.bp.blogspot.com/-urc-CtGTM7Y/VWL0Mwtpn_I/AAAAAAAHZp0/M3-O-zX1TXY/s640/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-6aop770R9-g/VWL0P1aEJmI/AAAAAAAHZqA/tq6Z2vp2IPM/s640/3.jpg)
10 years ago
Habarileo16 Sep
Mengi atinga fainali Tuzo za Afrika
MWENYEKITI Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi, amekuwa miongoni mwa wafanyabiashara wanne waliofikia fainali ya kuwania Tuzo ya Mwaka ya Mfanyabiashara Bora Afrika (AABLA) Kundi la Afrika Mashariki.
10 years ago
BBCSwahili16 Oct
Algeria fainali Kombe la Afrika 2015
10 years ago
BBCSwahili11 Sep
Mechi za kufuzu fainali za kombe Afrika
9 years ago
BBCSwahili20 Aug
Tanzania wenyeji Fainali Afrika - 2019