Chelsea na West Ham zapigwa faini
Klabu za West Ham na Chelsea zimetozwa faini ya £40,000 na £50,000 mtawalia na Shirikisho la Soka la Uingereza baada ya kukiri mashtaka ya utovu wa nidhamu.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania12 Nov
Chelsea, West Ham zapigwa faini England
LONDON, ENGLAND
CHAMA cha soka nchini England (FA) kimezitoza faini Klabu ya Chelsea na West Ham kutokana na utovu wa nidhamu uliooneshwa katika mchezo wa Ligi Kuu huku Chelsea ikiambulia kichapo cha mabao 2-1.
Chelsea wao wametozwa faini ya pauni 50,000 wakati West Ham ikitozwa pauni 40,000 kutokana na kukiri mashtaka ya utovu wa nidhamu ulioonyeshwa Oktoba 24 kwenye Uwanja wa Upton Park. Wachezaji watano wa Chelsea walioneshwa kadi za njano huku kiungo wao wa kati Nemanja Matic akioneshwa...
9 years ago
Bongo511 Nov
Timu za Chelsea na West Ham zapigwa faini na FA
Klabu za West Ham na Chelsea zimetozwa faini ya £40,000 na £50,000 na Shirikisho la Soka la Uingereza baada ya kukiri mashtaka ya utovu wa nidhamu.
Adhabu hiyo imetokea wakati wa ushindi wa West Ham wa 2-1 dhidi ya Chelsea uwanjani Upton Park Oktoba 24.
Wachezaji watano wa Chelsea walipewa kadi za njano na kiungo wa kati Nemanja Matic na meneja Jose Mourinho walifukuzwa uwanjani.
Kwa upande wa wachezaji wa West Ham walimzingira refa Jonathan Moss baada ya Matic kumkaba Diafra Sakho dakika...
10 years ago
BBCSwahili26 Dec
Chelsea kuchuana na West Ham
10 years ago
BBCWest Bromwich Albion 4-0 West Ham
10 years ago
MichuziAZAM, SIMBA, YANGA ZAPIGWA FAINI
Katika mechi namba 107 iliyowakutanisha wenyeji Ndanda FC dhidi ya Coastal Unioni, klabu ya Ndanda imepigwa faini ya sh. 500,000 (laki tano) kwa mujibu wa Kanuni ya 42(1) ya Ligi Kuu ya Vodacom kutokana na washabiki wake kumrushia chupa...
10 years ago
BBCSwahili20 Sep
10 years ago
BBCSwahili09 Aug
Arsenal vs West Ham
10 years ago
BBCSwahili08 Dec