Chelsea, West Ham zapigwa faini England
LONDON, ENGLAND
CHAMA cha soka nchini England (FA) kimezitoza faini Klabu ya Chelsea na West Ham kutokana na utovu wa nidhamu uliooneshwa katika mchezo wa Ligi Kuu huku Chelsea ikiambulia kichapo cha mabao 2-1.
Chelsea wao wametozwa faini ya pauni 50,000 wakati West Ham ikitozwa pauni 40,000 kutokana na kukiri mashtaka ya utovu wa nidhamu ulioonyeshwa Oktoba 24 kwenye Uwanja wa Upton Park. Wachezaji watano wa Chelsea walioneshwa kadi za njano huku kiungo wao wa kati Nemanja Matic akioneshwa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili10 Nov
Chelsea na West Ham zapigwa faini
9 years ago
Bongo511 Nov
Timu za Chelsea na West Ham zapigwa faini na FA
![2DBBB7B800000578-3290249-image-a-12_1445882422124](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/2DBBB7B800000578-3290249-image-a-12_1445882422124-300x194.jpg)
Klabu za West Ham na Chelsea zimetozwa faini ya £40,000 na £50,000 na Shirikisho la Soka la Uingereza baada ya kukiri mashtaka ya utovu wa nidhamu.
Adhabu hiyo imetokea wakati wa ushindi wa West Ham wa 2-1 dhidi ya Chelsea uwanjani Upton Park Oktoba 24.
Wachezaji watano wa Chelsea walipewa kadi za njano na kiungo wa kati Nemanja Matic na meneja Jose Mourinho walifukuzwa uwanjani.
Kwa upande wa wachezaji wa West Ham walimzingira refa Jonathan Moss baada ya Matic kumkaba Diafra Sakho dakika...
10 years ago
BBCSwahili26 Dec
Chelsea kuchuana na West Ham
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/81011000/jpg/_81011086_morrison_gardner_reuters.jpg)
West Bromwich Albion 4-0 West Ham
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-dH_xu3khqaA/VRaPnkJ2WOI/AAAAAAAHNwU/479QzKiIzQM/s72-c/yanga-logo.jpg)
AZAM, SIMBA, YANGA ZAPIGWA FAINI
![](http://2.bp.blogspot.com/-dH_xu3khqaA/VRaPnkJ2WOI/AAAAAAAHNwU/479QzKiIzQM/s1600/yanga-logo.jpg)
10 years ago
BBCSwahili20 Sep
10 years ago
BBCSwahili09 Aug
Arsenal vs West Ham