AZAM, SIMBA, YANGA ZAPIGWA FAINI
![](http://2.bp.blogspot.com/-dH_xu3khqaA/VRaPnkJ2WOI/AAAAAAAHNwU/479QzKiIzQM/s72-c/yanga-logo.jpg)
Kikao cha Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kilichoketi jumanne ya tarehe 24, Machi 2015 jijini Dar es salaam, kimepitia taarifa mbalimbali za michezo iliyochezwa na kutoa adhabu kwa wachezaji na vilabu vya Ligi Kuu ya Vodacom.Katika mechi namba 107 iliyowakutanisha wenyeji Ndanda FC dhidi ya Coastal Unioni, klabu ya Ndanda imepigwa faini ya sh. 500,000 (laki tano) kwa mujibu wa Kanuni ya 42(1) ya Ligi Kuu ya Vodacom kutokana na washabiki wake kumrushia chupa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili10 Nov
Chelsea na West Ham zapigwa faini
9 years ago
Bongo511 Nov
Timu za Chelsea na West Ham zapigwa faini na FA
![2DBBB7B800000578-3290249-image-a-12_1445882422124](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/2DBBB7B800000578-3290249-image-a-12_1445882422124-300x194.jpg)
Klabu za West Ham na Chelsea zimetozwa faini ya £40,000 na £50,000 na Shirikisho la Soka la Uingereza baada ya kukiri mashtaka ya utovu wa nidhamu.
Adhabu hiyo imetokea wakati wa ushindi wa West Ham wa 2-1 dhidi ya Chelsea uwanjani Upton Park Oktoba 24.
Wachezaji watano wa Chelsea walipewa kadi za njano na kiungo wa kati Nemanja Matic na meneja Jose Mourinho walifukuzwa uwanjani.
Kwa upande wa wachezaji wa West Ham walimzingira refa Jonathan Moss baada ya Matic kumkaba Diafra Sakho dakika...
9 years ago
Mtanzania12 Nov
Chelsea, West Ham zapigwa faini England
LONDON, ENGLAND
CHAMA cha soka nchini England (FA) kimezitoza faini Klabu ya Chelsea na West Ham kutokana na utovu wa nidhamu uliooneshwa katika mchezo wa Ligi Kuu huku Chelsea ikiambulia kichapo cha mabao 2-1.
Chelsea wao wametozwa faini ya pauni 50,000 wakati West Ham ikitozwa pauni 40,000 kutokana na kukiri mashtaka ya utovu wa nidhamu ulioonyeshwa Oktoba 24 kwenye Uwanja wa Upton Park. Wachezaji watano wa Chelsea walioneshwa kadi za njano huku kiungo wao wa kati Nemanja Matic akioneshwa...
9 years ago
Mwananchi01 Oct
Yanga, Azam, Simba usipime
9 years ago
Mwananchi16 Nov
Simba, Azam ni kikwazo Yanga
9 years ago
Mtanzania17 Oct
Yanga, Azam, Simba vitani
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
LIGI Kuu ya Tanzania Bara inaendelea leo kwa mechi sita katika viwanja tofauti huku Yanga ikiikaribisha Azam FC katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Yanga, Azam na Simba zitakuwa zikicheza kusaka ushindi katika mechi zao ili zijiweke katika nafasi nzuri katika mbio za kuwania taji la Ligi Kuu Tanzania Bara.
Yanga ina pointi 15 sawa na Azam lakini inaongoza kwa kupachika mabao 13 huku Azam ikiwa na mabao 9, hivyo kila moja itakuwa ikisaka ushindi ili kuongoza...
9 years ago
Mtanzania19 Dec
Vita ya Yanga, Azam, Simba
NA ZAINAB IDDY, DAR ES SALAAM
TIMU za Yanga, Azam na Simba, leo zinaingia kibaruani kwa mara nyingine katika viwanja tofauti katika raundi ya 12 ya Ligi Kuu Tanzania Bara.
Mabingwa watetezi wa ligi hiyo, Yanga, wao watakuwa katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, kuwakabili Stand United ya Shinyanga.
Yanga, wanaoongoza ligi hiyo wakiwa na pointi 27 baada ya kucheza mechi 11, wanashuka dimbani wakitokea mkoani Tanga, ambako wamecheza mechi mbili baina ya Mgambo Shooting na Africans Sports,...