Chelsea washinda, Man Utd walazwa nyumbani
Chelsea wamerejelea ushindi baada ya kulaza Sunderland 3-1 mechi yao ya kwanza bila Mourinho lakini Man Utd wamepokezwa kichapo cha 2-1 na Norwich City.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo12 Feb
Chelsea, Man U, City washinda

Mzunguko wa 25 wa Ligi Kuu ya England (EPL) umemalizika kwa ushindi kwa timu kubwa, huku kocha wa Aston Villa, Paul Lambert akifukuzwa kazi.
Chelsea walipata ushindi kwa tabu dhidi ya Everton kwa bao la dakika za mwisho la Willian, hivyo kujiweka pointi saba mbele ya mabingwa watetezi, Manchester City.
Gareth Barry alipewa kadi nyekundu iliyozua mzozo na kocha wa Everton, Roberto Martinez alisema kwamba Chelsea wanajaribu kuwashawishi waamuzi.
Kadhalika...
5 years ago
BeSoccer EN18 Feb
Chelsea v Man Utd - as it happened
9 years ago
Global Publishers29 Dec
Man Utd, Chelsea hakuna mbabe


Mchezaji kiungo wa Manchester United, Ander Herreram akimuangalia kipa wa Chelsea baada ya kukosa bao.




9 years ago
BBCSwahili07 Nov
Man Utd,Chelsea kujibwaga uwanjani
11 years ago
StarTV27 Oct
Man Utd, Chelsea hakuna mbabe, zatoka 1-1.
Nchini England Manchester United walitoka sare ya goli 1 -1 na Vijana kutoka darajani Chelsea katika uwanja wa Old Trafford.
Haikuchukua muda mwingi punde tu baada ya kuanza kwa kipute hicho, mchezaji mkongwe Didier Drogba akawainua mashabiki wa Chelsea baad ya kufunga goli zuri la kichwa.
Goli hili liliweza kudumu hadi dakika za nyongeza za mchezo huo na kuwapa matumaini mashabiki wa timu hiyo kuamini kuwa wangekusanya point zote tatu kutoka kwa Man U.
Dakika ya 93 ya mchezo Mholanzi...
9 years ago
BBCSwahili19 Dec
Chelsea, Man Utd kushuka dimbani EPL
11 years ago
Mwananchi16 Dec
Arsenal, Man Utd, City, Chelsea presha juu
11 years ago
GPL
9 years ago
BBCSwahili28 Dec
Hiddink: Chelsea waonyeshe hamu dhidi ya Man Utd