Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chelsea yatoka sare na Mancity darajani

Chelsea iliimarisha uongozi wake katika jedwali la ligi ya Uingereza dhidi ya Manchester City baada ya kutoka sare ya 1-1.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Chelsea yatoka sare na Southampton

Chelsea imeendeleza uongozi wake katika ligi kuu ya Uingereza baada ya kupata droo ya 1-1 dhidi ya Southampton

 

11 years ago

BBCSwahili

Chelsea yatoka sare ya 1-1 na West Brom

Chelsea imepoteza nafasi ya kusalia kileleni mwa ligi kuu ya Premier baada ya kutoka sare na West Brom

 

10 years ago

BBCSwahili

Man United yalimwa,Chelsea yatoka sare

Manchester United ilikosa fursa ya kupanda juu na pointi kumi dhidi ya Liverpool baada ya kulazwa mabao matatu bila na kilabu ya Everton.

 

11 years ago

BBCSwahili

Japan yatoka sare na Greece

Japan ilishindwa kuifunga Greece liyokuw na wachezaji 10 uwanjani

 

10 years ago

BBCSwahili

Cameroon yatoka sare na Guinea

Cameroon na Guinea zilitoka sare ya 1-1 na kuzifanya timu zote katika kundi la D kuwa sawa kwa pointi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Man United yatoka sare

Bingwa wa zamani wa ligi ya Uingereza Manchester United kwa mara nyingine wamezuiliwa na timu ya Stoke City

 

10 years ago

BBCSwahili

Kivumbi Europa Tottenham yatoka sare

Tottenham iliialika Besiktas ya Uturuki katika mechi ya Europa hadi mwisho wa mchezo timu hizo zilitoshana nguvu kwa sare ya 1-1.

 

10 years ago

BBCSwahili

Senegal yatoka sare na Afrika Kusini

Senegal iliwashangaza wengi ilipotoka nyuma na kuizuia Afrika Kusini katika mechi za mataifa ya Afrika

 

11 years ago

GPL

SIMBA YATOKA SARE NA MTIBWA SUGAR

HATIMAYE ubishi wa timu ya Mtibwa na wekundu wa msimbazi Simba umemalizika leo hii uwanja wa taifa baada ya kuchoshana nguvu kwa kufungana sare ya 1-1. Matokeo hayo, yanaiongezea Simba na kufikisha pointi 31 kibindoni na kupanda  nafasi ya tatu, sawa na  Vinara Mbeya city wenye pointi 31. Mfungaji wa Simba ni Hamisi Tambwe dakika ya 50 kipindi cha pili na Mtibwa Sugar ni Hasani Mgosi dakika ya 40 kipindi cha kwanza. ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani