Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chenge, Tibaijuka kuwekwa kitimoto

Mbunge wa Muleba Kusini Profesa Anna TibaijukaTUME ya Maadili ya Viongozi wa Umma itawaweka kiti moto watuhumiwa 9 ambao ni viongozi wanaohusishwa na kashfa ya uchotwaji wa fedha kutoka kwenye akaunti ya Tegeta Escrow.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wizara za Fedha, Elimu kuwekwa ‘kitimoto’

Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali, PAC, imepanga kuzikutanisha kwa pamoja, Wizara za Fedha na Elimu wakati ikipokea taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) inayohusu matumizi ya fedha za marejesho ya rada jinsi zilivyotumiwa.

 

10 years ago

Mtanzania

TRA yatua kwa Chenge, Tibaijuka

1MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imetua kwa vigogo waliopata mgawo wa fedha za Escrow na kuwataka kulipa kodi ya mapato kwa mujibu wa sheria.
Maofisa wa mamlaka hiyo walikwenda kwa vigogo hao na kuwasilisha mahesabu ya kodi walizochukua Januari Mosi mwaka huu ambapo kila aliyepata mgawo huo ametakiwa kulipa fedha hizo kabla ya Januari 30.
Hayo yalisemwa jijini Dar es Salaam jana na Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.
Alisema msimamo wa...

 

10 years ago

Habarileo

Wiki ngumu kwa Chenge, Tibaijuka

Andrew ChengeMBUNGE wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge kesho atasimama mbele ya Baraza la Maadili kujibu tuhuma za kukiuka maadili ya uongozi na kujipatia Sh bilioni 1.6 ambazo aligawiwa kutoka katika fedha za akaunti ya Tegeta Escrow.

 

10 years ago

Mtanzania

Chenge, Tibaijuka, Ngeleja kikaangoni leo

mnglFredy Azzah na Shabani Matutu, Dar es Salaam
KAMATI Ndogo ya Maadili ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), chini ya Mwenyekiti wake Philip Mangula, leo inawahoji makada wa chama hicho waliopokea mgawo wa fedha za Escrow.
Makada ambao watawekwa kikaangoni kutokana na kupokea mgawo huo, ni aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, Mwenyekiti wa Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala, Wiliam Ngeleja na Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti, Andrew Chenge.
Uamuzi huo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Exclusive: Ngoma nzito kwa Chenge, Tibaijuka

DSC_0007 (1)

Aliyekuwa waziri wa Ardhi nyumba na makazi ambaye pia ni Mbunge jimbo la Muleba,  Prof. Anna Tibaijuka akitoka kikaangoni.

Na Andrew Chale wa modewjiblog

Katika  hali isiyotarajiwa vigogo wa Serikali wa zamani akiwemo aliyekuwa waziri wa Ardhi nyumba na makazi ambaye pia ni Mbunge jimbo la Muleba,  Prof. Anna Tibaijuka  tukio la kupandishwa kizimbani  kwa tume hiyo ya maadili limeweza kubeba hisia nzito ikiwemo mgongano wa kisheria baini ya Wanasheria wa Serikali wa tume hiyo na Mwanasheria...

 

10 years ago

Mwananchi

Chenge, Tibaijuka, Kilaini walipuliwa mabilioni ya IPTL

Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imewataja vigogo wa serikali, wanasiasa na viongozi wa dini watatu walionufaika na uchotwaji wa Sh306 bilioni katika Akaunti ya Tegeta Escrow na jinsi baadhi walivyotumia mifuko ya plastiki kuzibeba.

 

10 years ago

Vijimambo

Tibaijuka, Chenge watumiwa ankara kodi ya Escrow

Naibu waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba
Serikali imesema imeshachukua hatua za kulipwa kodi kutoka kwa watu walionufaika na mgawo wa fedha zilizochotwa katika Akaunti ya Tegeta Escrow iliyokuwa katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, amesema wizara yake imeshawaandikia ankara za malipo ya kodi wadaiwa wote waliopokea mgawo huo.

Nchemba, ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama Cha Mapinduzi(CCM), alisema serikali imewapatia siku 30 watu hao ili...

 

10 years ago

Vijimambo

Kina Chenge, Tibaijuka kula kibano Escrow leo.

Wiki hii inatarajiwa kuwa ngumu kwa wanufaika wa mgawo wa uchotwaji wa zaidi ya Sh. bilioni 300 katika akaunti ya Tegeta Escrow, wakati Baraza la Maadili litakapowaweka kikaangoni watuhumiwa kadhaa, wakiwamo, Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew Chenge.

Kwa mujibu wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Baraza la Maadili, litaanza vikao vya kuwahoji watuhumiwa mbalimbali kwa wiki tatu mfululizo jijini Dar es Salaam kuanzia leo.

Watuhumiwa wengine wa Escrow ambao watawekwa kitimoto ni...

 

10 years ago

Habarileo

Tibaijuka, Chenge, Ngeleja wafungiwa vikao vya chama

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Nape Nnauye KAMATI Kuu ya CCM (CC) imewasimamisha uongozi wa vikao vya chama, vigogo watatu wa chama hicho, akiwemo Waziri wa zamani wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka kutokana na kuhusishwa na sakata la Escrow.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani