CHIKOKA ANASWA NA ‘KIBURUDISHO’
Msanii wa filamu category ya ‘siriaz komedi’, Juma Chikoka ‘Chopa’ akiwa na dada huyo. Brighton Masalu MSANII wa filamu category ya ‘siriaz komedi’, Juma Chikoka ‘Chopa’ amenaswa ‘laivu’ akiwa na mrembo huku akionesha hali ya kutojiamini na kutoa tafsiri hasi miongoni mwa baadhi ya watu. Mwanahabari wetu alimnasa msanii huyo mwishoni mwa wiki iliyopita ndani ya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLSTEVE NYERERE, CHIKOKA NDANI YA SIASA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/V0EnpUkUMSVwHbhdkNiCqPWDjTtG13wCNwGio81J4TcGqAMVQiB2LWpGbOQo0RES*PjZRmKAVbQ9xqv2EE-wTvwrpHVQc*wt/CHIKO.gif)
JUMA CHIKOKA LAIVU AKILA KITIMOTO
10 years ago
Tanzania Daima02 Oct
SIGARA: Kiburudisho kinachoua mamilioni duniani
Uvutaji wa sigara unasababisha vifo vya watu wengi ulimwenguni, uvutaji sigara uliua watu wapatao milioni 100 karne iliyopita. Uvutaji sigara huua watu wapatao milioni 6 kila mwaka. Kwa wastani, kila...
9 years ago
Mtanzania22 Sep
Christian Bella awa kiburudisho sherehe ya Tiffah
NA CHRISTOPHER MSEKENA
MASTAA wengi wamejitokeza kuiona sura ya mtoto wa msanii, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, anayeitwa Lattifah ‘Tiffah’ baada ya kutimiza siku 40 tangu alipozaliwa.
Baadhi ya mastaa waliohudhuria katika sherehe ya kutolewa mtoto huyo ni Aunt Ezekiel, Mrisho Mpoto, Queen Dareen, Shetta, Christian Bella, Dj Ommy na wengine wengi.
Msanii Christian Bella ndiye alikuwa mtumbuizaji mkuu katika sherehe hiyo na kukonga nyoyo zao hasa alipoimba wimbo wa ‘Ukimuona’, ambao ni...