Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIGARA: Kiburudisho kinachoua mamilioni duniani

Uvutaji wa sigara unasababisha vifo vya watu wengi ulimwenguni, uvutaji sigara uliua watu wapatao milioni 100 karne iliyopita. Uvutaji sigara huua watu wapatao milioni 6 kila mwaka. Kwa wastani, kila...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Ufisadi unaua mamilioni duniani

Inakisiwa dola Trilloni 1 huporwa kutoka kwa nchi maskini kila mwaka huku maisha ya mamilioni ya watu yakihatarishwa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Hewa chafu inaua mamilioni duniani

Watu milioni saba walifariki mwaka 2012 kutokana na hewa chafu, kwa mujibu wa shirika la afya duniani

 

5 years ago

BBCSwahili

Mamilioni ya tani za mabaki ya chakula hutupwa kila mwaka duniani

Kuna watu takribani milioni 820 duniani hawana chakula cha kutosha

 

5 years ago

Michuzi

WAFAHAMU WAHALIFU WALIOVUNJA REKODI YA KUMILIKI MAMILIONI YA PESA DUNIANI


Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
LINAPOKUJA suala la kutengeneza fedha sio kila mtu atatengeneza fedha kwa njia halali, baadhi ya wahalifu ulimwenguni wamefahamika zaidi kutokana na umiliki wao wa pesa nyingi zilizopatikana kwa njia isiyo ya halali, wengi wao wamekuwa wakipata pesa kupitia biashara haramu ikiwemo uuzaji wa dawa za kulevya, kuendesha mitandao ya ngono, uuzaji wa binadamu, ujangili na hata kutumia silaha ili kujipatia mali.
Licha ya shughuli zao kuwaweka katika hatari kubwa...

 

11 years ago

Bongo5

Kampuni ya sigara yaamriwa kumlipa mjane wa mvuta sigara aliyekufa kwa kansa ya mapafu dola bil.26.6!

Kundi la waamuzi wa kesi (jury) katika mahakama ya Florida nchini Marekani limeiamuru kampuni ya sigara ya RJ Reynolds Tobacco kumlipa mwanamke aliyefiwa na mume wake kwa saratani ya mapafu dola bilioni 23.6. Adhabu hiyo inajulikana kitaalum kama ‘Punitive damages’ na hutolewa kuyakatisha tamaa makampuni au watu kufanya mambo mabaya huku fidia au ‘compensatory damages’ […]

 

9 years ago

Bongo Movies

Onyango Atoboa Kinachoua Wasanii

ISSA Joseph ‘Mzee Onyango’ amewashukia wasanii wa filamu kwa kuwaambia kitu kinachosababisha kuchuja mapema katika sanaa ya uigizaji tofauti na wasanii wakongwe kama yeye ambao wamedumu katika tasnia hadi leo, Mzee Onyango anasema wasanii wanavimba vichwa.

“Hawa wasanii wengi hawataki kushauri kwa lolote, akisifiwa kidogo tu, anavimba kichwa na kujiona hana haja ya kufuatilia ushauri kutoka kwa mtu mwingine anajiona anajua, hawabadiliki na hawezi kukaza buti,”anasema Mzee Onyango.

Onyango...

 

10 years ago

GPL

CHIKOKA ANASWA NA ‘KIBURUDISHO’

Msanii wa filamu category ya ‘siriaz komedi’, Juma Chikoka ‘Chopa’ akiwa na dada huyo.
Brighton Masalu
MSANII wa filamu category ya ‘siriaz komedi’, Juma Chikoka ‘Chopa’ amenaswa ‘laivu’ akiwa na mrembo huku akionesha hali ya kutojiamini na kutoa tafsiri hasi miongoni mwa baadhi ya watu. Mwanahabari wetu alimnasa msanii huyo mwishoni mwa wiki iliyopita ndani ya...

 

9 years ago

Mtanzania

Christian Bella awa kiburudisho sherehe ya Tiffah

IMG-20150921-WA0004NA CHRISTOPHER MSEKENA

MASTAA wengi wamejitokeza kuiona sura ya mtoto wa msanii, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, anayeitwa Lattifah ‘Tiffah’ baada ya kutimiza siku 40 tangu alipozaliwa.

Baadhi ya mastaa waliohudhuria katika sherehe ya kutolewa mtoto huyo ni Aunt Ezekiel, Mrisho Mpoto, Queen Dareen, Shetta, Christian Bella, Dj Ommy na wengine wengi.

Msanii Christian Bella ndiye alikuwa mtumbuizaji mkuu katika sherehe hiyo na kukonga nyoyo zao hasa alipoimba wimbo wa ‘Ukimuona’, ambao ni...

 

10 years ago

GPL

KIONGOZI WA KIKUNDI CHA KIGAIDI KINACHOUA POLISI NA KUIBA SILAHA NI HUYU

Stori:Waandishi wetu/Ijumaa
HATIMAYE kuvamiwa kwa vituo vya polisi na kuporwa silaha huku askari wake wakiuawa kikatili kumejulikana kunafanywa na nani kufuatia gazeti hili kunasa mkanda wa video wa mtu mmoja anayejiita Kaisi Bin Abdullah akijitapa kufanya hivyo kwa lengo la kukusanya silaha ili kulipa kisasi siku si nyingi!
Ijumaa liliunasa mkanda huo kutoka kwa mtu mmoja aliyekataa kujitambulisha kwa jina wala kusema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani