Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kampuni ya sigara yaamriwa kumlipa mjane wa mvuta sigara aliyekufa kwa kansa ya mapafu dola bil.26.6!

Kundi la waamuzi wa kesi (jury) katika mahakama ya Florida nchini Marekani limeiamuru kampuni ya sigara ya RJ Reynolds Tobacco kumlipa mwanamke aliyefiwa na mume wake kwa saratani ya mapafu dola bilioni 23.6. Adhabu hiyo inajulikana kitaalum kama ‘Punitive damages’ na hutolewa kuyakatisha tamaa makampuni au watu kufanya mambo mabaya huku fidia au ‘compensatory damages’ […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Atupwa mahabusi kwa kuvuta sigara eneo la mahakama

Mfanyabiashara wa Moshi Mjini, Lenana Marealle amejikuta matatani baada ya kuwekwa mahabusi kwa saa tatu kwa amri ya jaji baada ya kuvuta sigara eneo la Mahakama Kuu Kanda ya Moshi.

 

10 years ago

Africanjam.Com

SHERIA KWA WAUZAJI NA WAVUTAJI WA SIGARA NCHINI CHINA

China iliwahi kupitisha sheria ya kusitisha uvutaji wa sigara katika maeneo ya wazi pamoja na maeneo ya shule na hospitali lakini haikuweza kutekelezeka kwa mara ya kwanza.Ingawa kuna baadhi ya nchi kama Jamaica ambapo uvutaji sigara ama bangi si kitu cha ajabu lakini kwa upande wa China sasa kitendo hicho kimeonekana ni kosa kubwa na Serikali imeanza mikakati ya kuhakikisha inatokomeza uvutaji sigara.
Nchi hiyo imerudi kwenye headlines tena na safari hii Serikali imeweka wazi mikakati yake...

 

5 years ago

BBCSwahili

Mti wa Krismasi uliotengenezwa kwa visu, risasi, na viberiti vya kuwashia sigara

Mti wa Krismasi wa uwanja wa ndege umetengenezwa kwa kutumia risasi na visu vilivyochukuliwa kutoka kwa wasafiri.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Madhara ya kuvuta sigara

KAMA unavuta sigara acha kuvuta, kama hujaanza usianze.  Kwanini uache na kwanini usianze? Ni kwa kuwa tafiti nyingi zimeonesha kuwa ukivuta sigara unajipunguzia miaka ya kuishi. Makala ya wiki iliyopita...

 

10 years ago

BBCSwahili

Sigara yamponza Szczesny

Kipa wa kikosi cha kwanza cha Arsenal, Wojciech Szczesny amepigwa faini ya pauni 20,000

 

11 years ago

BBCSwahili

Uraibu wa sigara wawavutia wengi

Idadi ya wavutaji wa sigara duniani imeongezeka kwa karibu bilioni moja kwa mujibu wa takwimu mpya.

 

11 years ago

KwanzaJamii

Zijue athari za uvutaji sigara

Miongoni mwa athari za tumbaku ni saratani ya koo na mapafu, kuziba kwa mishipa midogo ya damu, kupungua nguvu za kiume, kuwa na ukurutu, saratani ya kizazi, mimba kuharibika, vidonda vya tumbo na matatizo ya kusikia. Athari nyingine ni vidole, meno na mdomo kubadilika rangi, ngozi kukunjamana, matatizo ya mapafu, mifupa na moyo. Takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO) zinaonyesha kuwa karibu watu milioni sita hufa duniani kila mwaka kutokana na athari za matumizi ya tumbaku. Kati ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Marufuku kuvuta sigara hadharani

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid amesisitiaza tamko la kupiga marufuku uvutaji wa sigara katika maeneo ya umma ili kuilinda jamii kutokana na madhara yatokanayo na moshi wa sigara.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani