Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mti wa Krismasi uliotengenezwa kwa visu, risasi, na viberiti vya kuwashia sigara

Mti wa Krismasi wa uwanja wa ndege umetengenezwa kwa kutumia risasi na visu vilivyochukuliwa kutoka kwa wasafiri.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

Kampuni ya sigara yaamriwa kumlipa mjane wa mvuta sigara aliyekufa kwa kansa ya mapafu dola bil.26.6!

Kundi la waamuzi wa kesi (jury) katika mahakama ya Florida nchini Marekani limeiamuru kampuni ya sigara ya RJ Reynolds Tobacco kumlipa mwanamke aliyefiwa na mume wake kwa saratani ya mapafu dola bilioni 23.6. Adhabu hiyo inajulikana kitaalum kama ‘Punitive damages’ na hutolewa kuyakatisha tamaa makampuni au watu kufanya mambo mabaya huku fidia au ‘compensatory damages’ […]

 

10 years ago

Habarileo

Mbunge ataka kufahamu mafanikio ya ‘Kata Mti Panda Mti

Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira, Ummy MwalimuTANGU kampeni ya upandaji miti ya ‘Kata Mti Panda Mti’ ianzishwe mwaka 1998, idadi ya miti 1,864,452,063 imepandwa kote nchini, Bunge limefahamishwa.

 

9 years ago

MillardAyo

Baada ya kuuwawa kwa risasi kwa staa wa soka wa Honduras, staa mwingine tena kauwawa kwa risasi

Ikiwa ni zaidi ya wiki moja toka mchezaji wa timu ya taifa ya Honduras Arnold Peralta itangazwa kauwawa kwa risasi, December 28 mitandao mingi ya Ulaya imeripoti kifo cha staa mwingine wa soka aliyeuwawa kwa kupigwa risasi. December 27 aliyekuwa mchezaji wa timu ya taifa ya El Salvador Alfred Pacheco ameuawa kwa kupigwa na risasi wakati akiwa […]

The post Baada ya kuuwawa kwa risasi kwa staa wa soka wa Honduras, staa mwingine tena kauwawa kwa risasi appeared first on...

 

10 years ago

GPL

WATANO WAUAWA KWA VISU JAPAN

Maofisa wa polisi wakiwa eneo ambapo mtu mmoja amewaua watu watano kwa visu huko Sumoto, Japan. WATU watano wameuawa kwa kuchomwa visu wakiwa majumbani mwao katika Mji wa Sumoto uliopo katika Kisiwa cha Awaji, magharibi mwa Japan leo alfajiri. Wanausalama wakikagua eneo yalipotokea mauaji hayo. Kwa mujibu wa polisi, mtu mmoja mwenye umri wa miaka 40 anashikiliwa na polisi kwa kuhusishwa na mauaji hayo. Vyombo vya… ...

 

11 years ago

GPL

MAUAJI SIKUKUU! MCHUMBA AUAWA KWA KUCHOMWA VISU

Stori: Gabriel Ng’osha na Denis Mtima
SIKU mbili kabla ya Sikukuu ya Eid el Fitr, binti aliyefahamika kwa jina la Salma Khamis (21) (pichani), amekumbwa na mauti kufuatia kuchomwa visu mwilini na mchumba wake aliyetajwa kwa jina la Omary Idd. Binti anayefahamika kwa jina la Salma Khamis (21) aliyechomwa kisu na mchumba wake,Omary Idd Tukio hilo… ...

 

9 years ago

Michuzi

VIINGILIO VYA KRISMASI VYATAJWA

 KAMPUNI ya Msama Promotions ambayo ni waandaaji wa Matamasha ya Pasaka na Krismasi, imetangaza viingilio vya juu kwenye Tamasha la Krismasi kuwa ni Shilingi 50,000 kwa viti maalum, Tamasha ambalo litafanyika Desemba 25 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Tamasha hilo linalokwenda na shukrani kwa Mungu baada ya uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 25 ambako kabla, Msama waliandaa tamasha la Kuombea Amani uchaguzi Mkuu lililofanyika Oktoba 4 kwenye uwanja wa Taifa jijini ...

 

10 years ago

Vijimambo

Mzee wa miaka 70 jela kwa kukata mti


Mahakama ya Wilaya ya Kigoma imemhukumu Zuberi Lubengela (70) kutumikia kifungo cha miezi sita jela, kwa kosa la kukata mti aina mgunga wenye thamani ya Sh. 100,000, mali ya kanisa la TAG lililopo kijiji cha Kiganza.
Hukumu hiyo ilitolewa jana na Hakimu Mfawidhi wa mahakama hiyo, David Ngunyale, baada ya upande wa mashtaka kuiridhisha mahakama kuwa mshtakiwa huyo alitenda kosa hilo.

Hakimu Ngunyale alisema mahakama inatoa adhabu kali dhidi ya mshtakiwa ili iwe fundisho kwake na kwa wazee...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani