Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIINGILIO VYA KRISMASI VYATAJWA

 KAMPUNI ya Msama Promotions ambayo ni waandaaji wa Matamasha ya Pasaka na Krismasi, imetangaza viingilio vya juu kwenye Tamasha la Krismasi kuwa ni Shilingi 50,000 kwa viti maalum, Tamasha ambalo litafanyika Desemba 25 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Tamasha hilo linalokwenda na shukrani kwa Mungu baada ya uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 25 ambako kabla, Msama waliandaa tamasha la Kuombea Amani uchaguzi Mkuu lililofanyika Oktoba 4 kwenye uwanja wa Taifa jijini ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

VIINGILIO MECHI YA SIMBA NA YANGA VYATAJWA

Afisa Habari wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania,Boniface Wambura akizungumza na wanahabari,wakati akitangaza viingilio na utaratibu wa kuingia uwanjani katika Mechi ya Watani wa Jadi,Simba na Yanga unaotaraji kuchezwa Oktoba 18,2014 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Picha na Othman Michuzi.Kiingilio cha chini kwenye mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Yanga na Simba itakayochezwa Jumamosi (Oktoba 18 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ni sh. 7,000.
Washabiki...

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Tanzania Daima

Vyanzo vya migogoro hifadhini vyatajwa

MAENDELEO duni, uchu wa madaraka, mila potofu na usimamizi mbovu wa sheria kwa wananchi wanaoishi karibu na hifadhi za taifa, imetajwa kuwa ni kichocheo kikubwa cha migogoro kati ya Shirika...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Viwango vya askari akiumia kazini vyatajwa


KIWANGO cha juu cha fidia kwa polisi aliyepoteza maisha akiwa kazini ni sh. milioni 15 wakati kiwango cha fidia kwa aliyeumia kazini ni kati ya sh. milioni moja na milioni tano.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Perreira Ame Silima, alisema hayo bungeni jana alipokuwa akijibu swali la nyongeza la Saidi Zuberi (Fuoni-CCM), aliyetaka kujua viwango vya fidia kwa polisi wanaopoteza maisha wakiwa kazini na wanaoumia. Hata hivyo, Silima alisema viwango vinavyotolewa kwa polisi walioumia kazini...

 

9 years ago

StarTV

Visima vya maji Iringa vyatajwa kusababisha vifo

 Kukithiri kwa visima vya maji katika eneo la Changalawe mjini Mafinga wilayani Mufindi mkoani Iringa kumetajwa kusababisha vifo visivyo vya lazima kwa wananchi kutokana na eneo hilo kutokuwa na huduma ya maji ya bomba.

Umuhimu wa huduma ya maji unawalazimu wakazi wa Changalawe kubuni njia mbadala ya kupata maji jirani kwa kuchimba visima nje ya nyumba zao jambo ambalo limetajwa kuhatarisha maisha mara kwa mara.

Baadhi ya visima hivyo vinaurefu zaidi ya futi 15 kwenda chini, jambo ambalo ni...

 

10 years ago

Vijimambo

VIINGILIO VYA SIMBA NA YANGA HIVI HAPA

Kiingilio cha chini kwenye mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Yanga na Simba itakayochezwa Jumamosi (Oktoba 18 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ni sh. 7,000.

Washabiki watakaolipa kiingilio hicho ni wale watakaokaa viti vya rangi ya bluu na kijani ambavyo jumla yake ni 36,693 katika uwanja huo wenye viti 57,558. Viingilio vingine ni sh. 10,000 kwa viti vya rangi ya chungwa, sh. 20,000 kwa VIP B na C wakati VIP A itakuwa sh. 30,000.

Tiketi zitakazotumika kwenye mechi hiyo ni za...

 

10 years ago

GPL

TFF YATANGAZA VIINGILIO VYA AZAM VS YANGA

Kaimu Katibu Mkuu wa TFF, Boniface Wambura akiwa mbele ya wanahabari (hawapo pichani). Wanahabari mbalimbali wakimsikiliza Wambura.…

 

5 years ago

BBCSwahili

Mti wa Krismasi uliotengenezwa kwa visu, risasi, na viberiti vya kuwashia sigara

Mti wa Krismasi wa uwanja wa ndege umetengenezwa kwa kutumia risasi na visu vilivyochukuliwa kutoka kwa wasafiri.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani