VIINGILIO VYA SIMBA NA YANGA HIVI HAPA
Kiingilio cha chini kwenye mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Yanga na Simba itakayochezwa Jumamosi (Oktoba 18 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ni sh. 7,000.
Washabiki watakaolipa kiingilio hicho ni wale watakaokaa viti vya rangi ya bluu na kijani ambavyo jumla yake ni 36,693 katika uwanja huo wenye viti 57,558. Viingilio vingine ni sh. 10,000 kwa viti vya rangi ya chungwa, sh. 20,000 kwa VIP B na C wakati VIP A itakuwa sh. 30,000.
Tiketi zitakazotumika kwenye mechi hiyo ni za...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-4XQCn_2fPI4/VDzpV_BvPsI/AAAAAAAGqbg/IywZulWBHcI/s72-c/MMGM12361.jpg)
VIINGILIO MECHI YA SIMBA NA YANGA VYATAJWA
![](http://2.bp.blogspot.com/-4XQCn_2fPI4/VDzpV_BvPsI/AAAAAAAGqbg/IywZulWBHcI/s1600/MMGM12361.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-640PnH7fRoY/VDzpeJxDEKI/AAAAAAAGqbw/Ur8NXKtT7AU/s1600/MMGM1227.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-wAgZiQLoFyo/VDzpYTkwujI/AAAAAAAGqbo/suxHodK-WMM/s1600/MMGM1231.jpg)
Washabiki...
10 years ago
GPLTFF YATANGAZA VIINGILIO VYA AZAM VS YANGA
9 years ago
Mtanzania26 Sep
Simba, Yanga hapa kazi tu
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
DAKIKA tisini za pambano kati ya Simba na Yanga leo ndilo litaamua mshindi katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Pambano hili la kwanza kwa msimu wa 2015/16, limesubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa soka nchini kutokana na upinzani wa jadi uliopo miongoni mwa timu hizo mbili za Kariakoo, Dar es Salaam.
Timu zote mbili zitaingia kwenye pambano hilo zikitokea visiwani Zanzibar, ambako ziliweka kambi kwa ajili ya...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-4ET5aW8KvaU/VIw3WWE1oWI/AAAAAAACUP4/EwMDDlma4JI/s72-c/NNN.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-jp3c93qSSEM/Vmbr1eGV8mI/AAAAAAADDXg/R5pvAOJSI9I/s72-c/68408-2.jpg)
VIINGILIO VYA KRISMASI VYATAJWA
![](http://4.bp.blogspot.com/-jp3c93qSSEM/Vmbr1eGV8mI/AAAAAAADDXg/R5pvAOJSI9I/s640/68408-2.jpg)
Tamasha hilo linalokwenda na shukrani kwa Mungu baada ya uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 25 ambako kabla, Msama waliandaa tamasha la Kuombea Amani uchaguzi Mkuu lililofanyika Oktoba 4 kwenye uwanja wa Taifa jijini ...
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Burudani inahamia Zanzibar, Kombe la Mapinduzi 2016 Yanga, Azam FC na Simba ndani, ratiba kamili ipo hapa …
Ni kawaida kila mwaka kufanyika kwa mashindano ya Kombe la Mapinduzi visiwani Zanzibar, kwa mwaka 2016 michuano hiyo inafanyika kama kawaida. Kombe la Mapinduzi kwa sasa Bingwa mtetezi wa Kombe hilo ni klabu ya Simba. Jumapili ya January 3 2016. Hii ndio ratiba kamili mtu wangu ya michuano ya Kombe la Mapinduzi. CHANZO CHA HII […]
The post Burudani inahamia Zanzibar, Kombe la Mapinduzi 2016 Yanga, Azam FC na Simba ndani, ratiba kamili ipo hapa … appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
GPLVIKOSI VYA LEO SIMBA VS YANGA
9 years ago
Dewji Blog02 Jan
Ratiba ya mapinduzi Cup 2016 hii hapa, vigogo vya soka Azam Fc, Yanga watia timu Visiwani!!
Uwanja wa Amaan Zanzibar ambao utakuwa moja ya viwanja vitakavyotimua vumbi katika Michuano ya Mapinduzi Cup 2016 yanayotarajia kuanza jioni ya leo na kesho..