Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simba, Yanga hapa kazi tu

03NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

 

DAKIKA tisini za pambano kati ya Simba na Yanga leo ndilo litaamua mshindi katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Pambano hili la kwanza kwa msimu wa 2015/16, limesubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa soka nchini kutokana na upinzani wa jadi uliopo miongoni mwa timu hizo mbili za Kariakoo, Dar es Salaam.

 

Timu zote mbili zitaingia kwenye pambano hilo zikitokea visiwani Zanzibar, ambako ziliweka kambi kwa ajili ya...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Yanga hapa kazi tu

MABINGWA wa soka Tanzania Bara, Yanga jana waliondoa unyonge wa kufungwa na Simba baada ya kuibuka kidedea kwa mabao 2-0 katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Vijimambo

VIINGILIO VYA SIMBA NA YANGA HIVI HAPA

Kiingilio cha chini kwenye mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Yanga na Simba itakayochezwa Jumamosi (Oktoba 18 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ni sh. 7,000.

Washabiki watakaolipa kiingilio hicho ni wale watakaokaa viti vya rangi ya bluu na kijani ambavyo jumla yake ni 36,693 katika uwanja huo wenye viti 57,558. Viingilio vingine ni sh. 10,000 kwa viti vya rangi ya chungwa, sh. 20,000 kwa VIP B na C wakati VIP A itakuwa sh. 30,000.

Tiketi zitakazotumika kwenye mechi hiyo ni za...

 

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

GPL

TAMASHA LA MATUMAINI 2014 WABUNGE SIMBA NA YANGA KUONESHANA KAZI

Talk of the town kwa sasa ni tamasha kubwa na la kipekee, Usiku wa Matumaini linalotarajiwa kutimua vumbi Agosti 8, 2014 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ambalo ukiachilia mbali burudani kibao zitakazokuwepo, mechi kati ya wabunge wanaoishabikia Yanga dhidi ya wale wa Simba inatarajiwa kuwa kivutio cha aina yake. Wabunge wa timu ya Yanga wakiwa kwenye picha ya pamoja. Kama ilivyokuwa kwenye tamasha hilo mwaka jana...

 

11 years ago

GPL

RIPOTI MAALUM:WAGANGA WA KIENYEJI WANAVYOFANYA KAZI NA WACHEZAJI YANGA, SIMBA

Kuku wawili, mweusi kuzima nyota ya mpinzani, nyeupe kujing'arisha. Saleh Ally na Sweetbert Lukonge
SUALA la ushirikina katika soka limekuwa likizungumzwa kama hadithi za kufikirika, wako ambao wanasema mambo hayo hayatokei, lakini wako ambao wamekuwa wakithibitisha kuwa hali hiyo inatokea.…

 

9 years ago

MillardAyo

Burudani inahamia Zanzibar, Kombe la Mapinduzi 2016 Yanga, Azam FC na Simba ndani, ratiba kamili ipo hapa …

Ni kawaida kila mwaka kufanyika kwa mashindano ya Kombe la Mapinduzi visiwani Zanzibar, kwa mwaka 2016 michuano hiyo inafanyika kama kawaida. Kombe la Mapinduzi kwa sasa Bingwa mtetezi wa Kombe hilo ni klabu ya Simba. Jumapili ya January 3 2016. Hii ndio ratiba kamili mtu wangu ya michuano ya Kombe la Mapinduzi. CHANZO CHA HII […]

The post Burudani inahamia Zanzibar, Kombe la Mapinduzi 2016 Yanga, Azam FC na Simba ndani, ratiba kamili ipo hapa … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

Raia Mwema

Hapa kazi tu na utendaji kazi wa staili ya jeshi la mtu mmoja

RAIS wa Awamu ya Tano, Dk. John Magufuli ameanza kazi kwa staili ambayo si mpya hapa nchini.

Yahya Msangi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani