Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATANO WAUAWA KWA VISU JAPAN

Maofisa wa polisi wakiwa eneo ambapo mtu mmoja amewaua watu watano kwa visu huko Sumoto, Japan. WATU watano wameuawa kwa kuchomwa visu wakiwa majumbani mwao katika Mji wa Sumoto uliopo katika Kisiwa cha Awaji, magharibi mwa Japan leo alfajiri. Wanausalama wakikagua eneo yalipotokea mauaji hayo. Kwa mujibu wa polisi, mtu mmoja mwenye umri wa miaka 40 anashikiliwa na polisi kwa kuhusishwa na mauaji hayo. Vyombo vya… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Askari watano wauawa Libya

Watu wenye silaha wameshambulia makao makuu ya jeshi la usalama na kuua askari watano mjini Benghazi, Libya

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi watano wauawa Afghanistan

Wanajeshi watano wa Afghanistan wameuawa kwa shambulio la anga lililotekelezwa na majeshi ya NATO

 

11 years ago

Mwananchi

Watu watano wauawa kikatili Geita

>Watu wanne wakazi wa Kijiji cha Nyankumbu mkoani Geita, wameuawa kikatili kwa kuchomwa moto na mwingine akifia kwenye dimbwi la maji kijijini hapo.

 

11 years ago

GPL

MAUAJI SIKUKUU! MCHUMBA AUAWA KWA KUCHOMWA VISU

Stori: Gabriel Ng’osha na Denis Mtima
SIKU mbili kabla ya Sikukuu ya Eid el Fitr, binti aliyefahamika kwa jina la Salma Khamis (21) (pichani), amekumbwa na mauti kufuatia kuchomwa visu mwilini na mchumba wake aliyetajwa kwa jina la Omary Idd. Binti anayefahamika kwa jina la Salma Khamis (21) aliyechomwa kisu na mchumba wake,Omary Idd Tukio hilo… ...

 

5 years ago

BBCSwahili

Mti wa Krismasi uliotengenezwa kwa visu, risasi, na viberiti vya kuwashia sigara

Mti wa Krismasi wa uwanja wa ndege umetengenezwa kwa kutumia risasi na visu vilivyochukuliwa kutoka kwa wasafiri.

 

10 years ago

Michuzi

Ubalozi Wa Tanzania Japan Waipaisha Kahawa Kilimanjaro Kwenye Treini Ziendazo Kasi Japan

Kahawa ya Tanzania imekuwa kivutio kikubwa kufuatia ushirikiano wa Ubalozi wa Tanzania Japan na Kampuni binafsi ya M.M. (wauzaji wakubwa wa kahawa ya Kilimanjaro Japan) kuandaa “Special Premium kilimanjaro Coffee Brand ” na kuingia makubaliano na Shirika kongwe la treini ziendazo kasi (Bullet Train) la Tokaido JR Shinkansen. Kahawa hiyo imekuwa kiburudisho kikubwa kwa wasafiri wote wanaotumia usafiri huo ambao ni maarufu sana Japan katika miji mbalimbali. Kwa watumiaji wa usafiri huo...

 

10 years ago

GPL

MREMBO AMCHOMA VISU MBONGO SAUZI

Stori: Mayasa Mariwata na Shani ramadhani
WIVU wa mapenzi bwana! Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la David Patrick Chagu (pichani) aliyekuwa akiishi Jimbo la George nchini Afrika Kusini ‘Sauzi’  amekumbwa na mauti kwa kuchomwa visu na mpenziwe aliyefahamika kwa jina moja la Monica. Waombolezaji na mama wa marehemu, Rose Ndunguru (wa pili kulia) wakiwa katika hali ya simanzi. Tukio hilo lilitokea Oktoba...

 

10 years ago

GPL

BODABODA AMCHOMA VISU MWENZAKE, AMUUA!

Stori: Andrew Carlos
DEREVA bodaboda mmoja aliyefahamika kwa jina la Seleman amedaiwa kumchoma visu mwilini dereva mwenzake wa aliyefahamika kwa jina la Panya Road na kumsababishia kifo. Dereva bodaboda anayefahamika kwa jina la Seleman (mwenye flana) akimshambulia kwa visu mwilini dereva mwenzake  anayefahamika kwa jina la Panya Road. Kwa mujibu wa chanzo, tukio hilo la kusikitisha lilitokea Jumatano iliyopita asubuhi...

 

11 years ago

Michuzi

news alert: watano wapanda kizimbani kwa mashtaka ya usambazaji wa Dawa feki za kurefusha maisha kwa waathirika wa Ukimwi

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es Salaam pia ni Mkurugenzi Mkuu Kiwanda cha Kutengeza Dawa (TPI Ltd) Ramadhani Madabida na wenzake watano wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, wakikabiliwa na mashitaka matano ya usambazaji wa Dawa feki za kurefusha maisha kwa waathirika wa Ukimwi na kuisababishia Bohari Kuu ya Dawa (MSD)hasara ya zaidi ya Sh.milioni 148.3.   Mbali na Madabida washtakiwa wengine ni, Meneja Uendeshaji Seif Shamte, aliyekuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani