Watu watano wauawa kikatili Geita
>Watu wanne wakazi wa Kijiji cha Nyankumbu mkoani Geita, wameuawa kikatili kwa kuchomwa moto na mwingine akifia kwenye dimbwi la maji kijijini hapo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV03 Dec
Watu wanne wauawa kwa kukatwa mapanga Geita
Watu wanne wameuawa kwa kukatwa mapanga na watu wasiojulikana katika kijiji cha Bugalama Wilaya ya Geita.
Tukio hilo limetokea disemba moja majira ya saa nne usiku likihusishwa na imani za kishirikina ambapo inadaiwa marehemu Mariamu Lushafisha alimuua mumewe Samuel Masebu ambaye alikuwa akionekana mara kwa mara maeneo ya nyumbani na baadhi ya wanandugu wa upande wa kiume kumtuhumu Mariam amemuua kimazingara.
Watu hao wasiofahamika waliingia na mapanga kwenye mji wa Marehemu Samuel Masebu...
11 years ago
BBCSwahili20 Mar
Watoto wauawa kikatili CAR
9 years ago
Habarileo03 Nov
Wanne wauawa kikatili Bukoba
MAUAJI ya kikatili yameibuka tena wilayani Bukoba mkoani Kagera baada ya watu wasiofahamika kusababisha vifo vya watu wanne waliokatwakatwa mapanga na miili yao kufunikwa kwa majani ya migomba, Polisi imesema.
11 years ago
Mtanzania31 Jul
Mama na mtoto wake wauawa kikatili
![Arusha Town](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Arusha-Town.jpg)
Arusha Town
Na Eliya Mbonea, Arusha
MKAZI wa eneo la Baraa Ngulelo, jijini Arusha, Lightness Thomas na mtoto wake wa kike, Joyna Charles (9), wamekutwa wamekufa ndani ya nyumba yao huku vichwa vyao vikiwa vimetobolewa na kitu chenye ncha kali.
Miili ya watu hao iligundulika ndani ya nyumba yao usiku wa Julai 27, mwaka huu, kitandani na kufunikwa blanketi, huku ikiwa imeharibika vibaya.
Akizungumza na MTANZANIA, ndugu wa marehemu ambaye hakupenda jina lake litajwe kwenye gazeti, alidai watu...
9 years ago
StarTV30 Nov
Wachimbaji wadogo watano wafariki Geita
Wachimbaji wadogo watano wamefariki dunia baada ya kufukiwa na vifusi katika maeneo ya Mgusu na Nyanza mkoani Geita.
Matukio hayo yametokea kwa nyakati tofauti ambapo wachimbaji kumi waliingia eneo la Nyanza majira ya saa tisa novemba 28 na wakiwa katika harakati za uchimbaji wakaangukiwa na kifusi huku usiku wa novemba 29 tukio hilo limetokea mgusu na kusababisha wachimbaji hao kufariki.
Maeneo ya Nyanza na Mgusu wanayoingia wachimbaji wadogo kwa ajili ya kujitafutia dhahabu yako chini ya...
11 years ago
BBCSwahili06 Mar
Wanajeshi watano wauawa Afghanistan
11 years ago
BBCSwahili02 May
Askari watano wauawa Libya
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/650FoUqjosYoR2kpZTxHV-7TBdLWUKln6O8MDjvBkrQF7TFeyiY13R*rklGrv09x5XH7eZ*ymQwVq-HdTC6zOefOdDPkWoHB/JapanStabbingSpree.jpg?width=650)
WATANO WAUAWA KWA VISU JAPAN