WAFAHAMU WAHALIFU WALIOVUNJA REKODI YA KUMILIKI MAMILIONI YA PESA DUNIANI

Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
LINAPOKUJA suala la kutengeneza fedha sio kila mtu atatengeneza fedha kwa njia halali, baadhi ya wahalifu ulimwenguni wamefahamika zaidi kutokana na umiliki wao wa pesa nyingi zilizopatikana kwa njia isiyo ya halali, wengi wao wamekuwa wakipata pesa kupitia biashara haramu ikiwemo uuzaji wa dawa za kulevya, kuendesha mitandao ya ngono, uuzaji wa binadamu, ujangili na hata kutumia silaha ili kujipatia mali.
Licha ya shughuli zao kuwaweka katika hatari kubwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili12 Mar
Coronavirus: Wafahamu watu mashuhuri duniani waliopata maambukizi ya virusi vya corona
10 years ago
CloudsFM09 Mar
Ujauzito ulimkosesha Snura mamilioni ya pesa
Wakati msanii wa Bongo Fleva,Snura Mushi yuko kimya kwa zaidi ya miezi kwa karibu miezi mitano na zaidi ili kupisha ujauzito wake ukue kwa siri hadi akajifungua mtoto wake wa tatu zaidi ya mwezi mmoja uliopita, Snura ijumaa iliyopita aliachia ngoma yake mpya iitwayo ‘Hawashi’ na kuifichua siri yake ya kubeba ujauzito na kuficha siri hadi anajifungua.
Kwa mujibu wa meneja wa msanii huyo aitwaye Hk Hyper,alisema kuwa kipindi hicho wakati Snura akiwa mjamzito alikuwa akipigiwa simu mbalimbali...
10 years ago
GPL
WATEJA WA AIRTEL KUJISHINDIA MAMILIONI YA PESA
10 years ago
GPL
WATEJA WA AIRTEL WAZIDI KUSHIDA MAMILIONI YA PESA
11 years ago
GPL
DEREVA DALADALA NA FUNDI MAKENIKA WAZOA MAMILIONI YA TIGO PESA
9 years ago
Michuzi
Wateja wa Airtel kushinda mamilioni ya pesa kupitia promosheni ya “Airtel MKWANJIKAâ€

11 years ago
BBCSwahili04 Sep
Ufisadi unaua mamilioni duniani
11 years ago
BBCSwahili25 Mar
Hewa chafu inaua mamilioni duniani
11 years ago
Tanzania Daima02 Oct
SIGARA: Kiburudisho kinachoua mamilioni duniani
Uvutaji wa sigara unasababisha vifo vya watu wengi ulimwenguni, uvutaji sigara uliua watu wapatao milioni 100 karne iliyopita. Uvutaji sigara huua watu wapatao milioni 6 kila mwaka. Kwa wastani, kila...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10