KIONGOZI WA KIKUNDI CHA KIGAIDI KINACHOUA POLISI NA KUIBA SILAHA NI HUYU
![](http://api.ning.com:80/files/sRY-hG6lRQ88Efd349L6bR5Qn4bqytVZ3soZ7AKuYJRVxRXW2m288PsjT8nGMayEI9JzIpoW4fZD5K-AcVMDFdAbjCqhcxSz/FRONTIJUMAA.jpg)
Stori:Waandishi wetu/Ijumaa HATIMAYE kuvamiwa kwa vituo vya polisi na kuporwa silaha huku askari wake wakiuawa kikatili kumejulikana kunafanywa na nani kufuatia gazeti hili kunasa mkanda wa video wa mtu mmoja anayejiita Kaisi Bin Abdullah akijitapa kufanya hivyo kwa lengo la kukusanya silaha ili kulipa kisasi siku si nyingi! Ijumaa liliunasa mkanda huo kutoka kwa mtu mmoja aliyekataa kujitambulisha kwa jina wala kusema...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XewtWaR3V6a*gQcMv6WfEz7GRG-6YJehp8OLI3i1WIgrVOpUDgeQoG-Z6UOq*ASlVvh6Y-C3UW36PqOb3PK*4uiNbS*hoFe*/FRONTWIKIENDA.jpg?width=650)
POLISI WA KIKE ANAYEDAIWA KUIBA MTOTO, HUYU HAPA!
10 years ago
Mwananchi13 Jul
Watu wenye silaha wavamia kituo cha polisi Dar, waua, waiba silaha
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ja6gu*i0lR4ur97VhIdHrwwacMHra1YOjmjnrzAl7RP7DI3YZHKtOrvI*epTTORCUd5H4PNqWuicflqHnYJzsmc*IltS4ZSd/BREAKING.gif)
KITUO CHA POLISI STAKISHARI-UKONGA CHAVAMIWA, POLISI WAUAWA NA KUPORWA SILAHA
10 years ago
Michuzi13 Jul
NEWS ALERT: WATU KADHAA WAUWAWA, SILAHA ZAPORWA BAADA YA MAJAMBAZI KUVAMIA KITUO KIDOGO CHA POLISI CHA SITAKISHARI, UKONGA, JIJINI DAR ES SALAAM USIKU HUU
Habari ambazo hazijathibitishwa zinasema kwamba askari polisi kadhaa kituoni hapo pamoja na raia mmoja wameuwawa. Silaha kadhaa pia inasemekana zimeporwa na askari wako eneo la tukio hivi sasa.
Tunaendelea kufuatilia taarifa hii na tutawajuza maendeleo yake kadri tutapopata fununu...
10 years ago
VijimamboKITUO CHA HABARI CHA UMOJA WA MATAIFA WASHIRIKI ALHAMISI YA BURUDANI NA KIKUNDI CHA MTANDAO WA VIJANA TEMEKE
Kituo cha habari cha Umoja wa Mataifa jana iliandaa Alhamisi ya Burudani kwa ajili ya kujifunza kazi mbalimbali za Umoja wa Mataifa. Kwa kila Alhamis ya mwisho wa mwezi Kituo cha...
11 years ago
Tanzania Daima06 Mar
Silaha 100 za Kiongozi; Kati ya hizo unazo ngapi?
Rekodi za kibibliografia KITABU kinachohakikiwa hapa ni: Silaha 100 za Kiongozi; Kati ya hizo unazo ngapi ambacho kimetungwa na Pius Ngeze. Mchapishaji wa kitabu hiki chenye kurasa 64 ni Kampuni...
11 years ago
Tanzania Daima13 Mar
Silaha 100 za Kiongozi; Kati ya hizo unazo ngapi- 2
WIKI iliyopita katika uhakiki wa kitabu cha Silaha 100 za Kiongozi; Kati ya hizo unazo ngapikilichotungwa na Pius Ngeze, tuliangalia utangulizi, mazingira yanayokizunguka kitabu na muhtasari wake. Sasa endelea. Wanachi...
10 years ago
Habarileo05 Jan
Polisi yanasa mtandao wa `kigaidi’
JESHI la Polisi mkoani Ruvuma kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama, limefanikiwa kukitambua kikundi cha mtandao wa kigaidi.