Onyango Atoboa Kinachoua Wasanii
ISSA Joseph ‘Mzee Onyango’ amewashukia wasanii wa filamu kwa kuwaambia kitu kinachosababisha kuchuja mapema katika sanaa ya uigizaji tofauti na wasanii wakongwe kama yeye ambao wamedumu katika tasnia hadi leo, Mzee Onyango anasema wasanii wanavimba vichwa.
“Hawa wasanii wengi hawataki kushauri kwa lolote, akisifiwa kidogo tu, anavimba kichwa na kujiona hana haja ya kufuatilia ushauri kutoka kwa mtu mwingine anajiona anajua, hawabadiliki na hawezi kukaza buti,”anasema Mzee Onyango.
Onyango...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies27 Mar
Onyango Atoboa Kinacho Waua Wasanii wa Leo!
Mkongwe wa komedi hapa Bongo, ISSA Joseph ‘Mzee Onyango’ amewashukia wasanii wa filamu kwa kuwaambia kitu kinachosababisha kuchuja mapema katika sanaa ya uigizaji tofauti na wasanii wakongwe kama yeye ambao wamedumu katika tasnia hadi leo, Mzee Onyango anasema wasanii wanavimba vichwa.
“Hawa wasanii wengi hawataki kushauri kwa lolote, akisifiwa kidogo tu, anavimba kichwa na kujiona hana haja ya kufuatilia ushauri kutoka kwa mtu mwingine anajiona anajua, hawabadiliki na hawezi kukaza...
10 years ago
Bongo Movies22 Apr
Aunt Ezekiel Atoboa Kuhusu Wasanii wa Bongo Movies Kujitengenezea ‘Skendo’
Staa mrembo wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel ‘Mama Kijacho’ amesema baadhi ya wasanii wa bongo movies hawajitambui ndio maana kazi zao nyingi hazina mvuto badala yake nguvu nyingi wameelekeza kubuni skendo wakitarajia ndio zitawatoa kisanaa.
Alisema wasanii wengi wanatumia muda mwingi kutafakari jinsi ya kutengeneza skendo ili watume kwenye mitandao na kuandikwa kwenye magazeti lakini hawana ubunifu wa kutengeneza filamu zenye ushawishi kwenye jamii.
Aunt ambae kwenye filamu ya Chozi la...
10 years ago
Tanzania Daima02 Oct
SIGARA: Kiburudisho kinachoua mamilioni duniani
Uvutaji wa sigara unasababisha vifo vya watu wengi ulimwenguni, uvutaji sigara uliua watu wapatao milioni 100 karne iliyopita. Uvutaji sigara huua watu wapatao milioni 6 kila mwaka. Kwa wastani, kila...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sRY-hG6lRQ88Efd349L6bR5Qn4bqytVZ3soZ7AKuYJRVxRXW2m288PsjT8nGMayEI9JzIpoW4fZD5K-AcVMDFdAbjCqhcxSz/FRONTIJUMAA.jpg)
KIONGOZI WA KIKUNDI CHA KIGAIDI KINACHOUA POLISI NA KUIBA SILAHA NI HUYU
10 years ago
BBCSwahili02 Aug
Onyango amshinda Atuihairwe wa Uganda
10 years ago
TheCitizen17 Oct
ONYANGO-OBBO: Ebola could kill democracy in Africa
10 years ago
TheCitizen14 Nov
ONYANGO-OBBO: A man eateth where he worketh, so some eat from their flocks
10 years ago
TheCitizen13 Oct
ONYANGO-OBBO: Stop twerking and get dancing, life is too short
10 years ago
Bongo Movies25 Jan
Riyama Amshuru Mungu Kwa Kumkutanisha na Mzee Onyango!!
"Leo nimekutana na baba yangu kipenzi changu kipenzi cha wengi Mzee onyango Dah asante mungu nilikua namuona katika TV kabla sijawa msanii wala sijafikiri kua msanii leo kwa mapenzi yako umenikutanisha nae kweli mungu mwema sana nawajali na wa heshimu na kuwapenda walio nitangulia katika TASNIA hii ya uigizaji kwani wao ndio kioo changu Nawapenda sanaaaaaaaaaa mungu atuwekee amin"-Riyama amabe ni moja kati waigizaji wa kike wanaofanya vizuri kwasasa hapa Bongo aliandika hayo mara baada ya...