Riyama Amshuru Mungu Kwa Kumkutanisha na Mzee Onyango!!
"Leo nimekutana na baba yangu kipenzi changu kipenzi cha wengi Mzee onyango Dah asante mungu nilikua namuona katika TV kabla sijawa msanii wala sijafikiri kua msanii leo kwa mapenzi yako umenikutanisha nae kweli mungu mwema sana nawajali na wa heshimu na kuwapenda walio nitangulia katika TASNIA hii ya uigizaji kwani wao ndio kioo changu Nawapenda sanaaaaaaaaaa mungu atuwekee amin"-Riyama amabe ni moja kati waigizaji wa kike wanaofanya vizuri kwasasa hapa Bongo aliandika hayo mara baada ya...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania06 Mar
Riyama: Watu wamekosa hofu ya Mungu
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
MSANII wa filamu nchini, Riyama Ally, amewataka Watanzania kuwa na hofu ya Mungu na kuacha kuwadhulumu uhai wao walemavu wa ngozi ‘albino’.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Riyama alisema inashangaza watu ambao wamekuwa wakiendekeza imani za kishirikina, kwani wengi wao hushia pabaya na kukosa mafanikio.
Alisema imani potofu zimekuwa zikizidisha maovu hayo, huku baadhi ya watu wakijinufaisha wao bila kuangalia maisha ya wenzao.
“Watu hawana hofu ya Mungu kabisa,...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Nx03ocxbc1U/XrVjLB0fSCI/AAAAAAALpfg/no6Ws3gz4uwOPydcdJU3ePRpvDbuvaIpwCLcBGAsYHQ/s72-c/maxresdefault.jpg)
MZEE ALI HASSAN MWINYI ATIMIZA MIAKA 95, WATANZANIA WAMUOMBEA KWA MWENYEZI MUNGU AZIDI KUMPA AFYA NJEMA
LEO Rais mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi anasherehekea siku yake ya luzaliwa kwa kufikisha umri wa miaka 95 akiwa mwenye afya njema.
Watanzania wa kada mbalimbali wamempongeza mzee Mwinyi kwa kufikisha umri huo huku wakiendelea kumuombea kwa Mwenyezi Mungu azidi kumpa afya njema na maisha marefu.Mzee Mwinyi ambaye ameliongoza Taifa la Tanzania katika Serikali ya Awamu ya Pili ameendelea kuwa Rais mwenye kupendwa na kukumbukwa na hasa...
10 years ago
Bongo Movies06 Apr
Mpya Kutoka Kwa Riyama
Staa mwenye kiwango cha juu kabisa kutoka Bongo Movies, Riyama Ally anakuja na kazi hii ya mikono yake.
"WAKALA WA MAUTI " Ni kazi ya mikono yangu namuomba Mungu anijalie iwe miongoni mwa kazi bora inshallah amin iko ktk maandalizi ya mwishoni support yenu muhimu sana waungwana wa mimi damwani nimeicheza morogoro humo ndani utakutana na Keisha , Hemedy Phd na mimi mwenyewe RIYAMAALLY...... Na wengine Kibao Kaeni mkao wakula wadau wetu!!!”- Riyama alimaliza mara baada ya kubandika picha...
10 years ago
Mtanzania30 Apr
Riyama Ally: Najifunza kwa Thea
NA RHOBI CHACHA
STAA katika uigizaji, Riyama Ally, ameibuka na kudai kwamba vitu vingi vya uigizaji hujifunza kutoka kwa msanii mwenzake, Ndumbaro Misayo ‘Thea’.
Riyama alisema Thea ni msanii zaidi yake na huwa hajibweteki kwa kulewa sifa kama walivyo baadhi ya waigizaji, ndiyo maana hupenda kujifunza kwake.
“Mimi najiamini na huwa napenda kumpa pongezi mtu anayefanya vizuri katika sanaa, Thea tangu alivyoanza kuigiza hajawahi kutetereka kwa kuwa halewi sifa za mashabiki wake, hivyo ni mfano...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8pnqwPqNt2NIRIKy1O8G084T-acCbh5rgtS*wVPhl5ixHsYDk6IZO4HtqYR-*08jthIM0Zq2t9H2uQ4jtvr6vohJhec0HuXD/riyama.jpg?width=650)
RIYAMA NJIA PANDA KWA MITUNGI
10 years ago
Bongo Movies04 Jan
Damwani: Mzigo Mpya Kutoka Kwa Riyama
Tukiwa ndio tuanaunza mwaka huu wa 2015, tegemea kazi mpya kutoka kwa mwigizaji mahili kabisa wa filamu hapa nchini, Riyama Ally ambae kwa sasa yupo katika hatua za mwisho kuikamilisha kazi hiyo.
Filamu itakwenda kwa jina la DAMWANI ambayo itakua inahusu maswala ambayo yapo kwenye jamii yetu kwenye maisha yetu ya kila siku, filamu hii imejumuisha waigizaji wakongwe na wachanga na wageni kwenye tasnia hii ya filamu hapo bongo.
Akionekana mbele ya kamera,Riyama akiwa na mwigizaji mwenzie...
11 years ago
GPLMUACHE MUNGU AITWE MUNGU NA KAMA HUJAFA HUJAUMBIKA
10 years ago
Bongo Movies07 Jan
Frank Amshushia Lawama Riyama kwa Kumzibia Riziki
Mwigizaji mkongwe wa filamu za hapa Bongo, Mohammed Mwikongi maarufu kama Frank, amedai kuwa mwigizaji mwenzie Riyama Ally anamzibia riziki kiasi kwamba sasa anamsaka ili amweleze kitu gani aliwahi kumkosea.
Akizungumza jijini hivi karibuni, Frank alisema anamtafuta Riyama ili aweze kumwambia ni kwa nini inakuwa hivyo kwa sababu katika filamu zote ambazo yeye anatakiwa kucheza, mwenzake huyo huwepo na ndiye anayependekeza watu watakaohusika na filamu hiyo.
“Tukiacha ile filamu...
10 years ago
BBCSwahili02 Aug
Onyango amshinda Atuihairwe wa Uganda