Riyama Ally: Najifunza kwa Thea
NA RHOBI CHACHA
STAA katika uigizaji, Riyama Ally, ameibuka na kudai kwamba vitu vingi vya uigizaji hujifunza kutoka kwa msanii mwenzake, Ndumbaro Misayo ‘Thea’.
Riyama alisema Thea ni msanii zaidi yake na huwa hajibweteki kwa kulewa sifa kama walivyo baadhi ya waigizaji, ndiyo maana hupenda kujifunza kwake.
“Mimi najiamini na huwa napenda kumpa pongezi mtu anayefanya vizuri katika sanaa, Thea tangu alivyoanza kuigiza hajawahi kutetereka kwa kuwa halewi sifa za mashabiki wake, hivyo ni mfano...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLRIYAMA ALLY ALILIA NDOA!
11 years ago
Michuzi29 Jul
11 years ago
Bongo Movies20 Jul
Kitale (Mkude Simba) amwagia sifa kedekede Riyama Ally.
Kupitia ukurasa wa mtandao mmoja maarufu wa kijamii nchini, mwigizaji wa vichekesho na filamu nchini, Kitale almaarufu kama Mkude Simba amemwamgia sifa kedekede mwigizaji mwigine anayefanya vizuri kwenye upande wa filamu nchini Riyama Ali kama ishara ya kuonesha upendo wake kwa mwanadada huyo.
Huku akiwa ameweka picha ya mwanadada Riyama, Kitale aliandika
"Huyu mdada mm napenda kumuita kambi popote kwa maana ya kwamba achagui scene yy ukimpa scene yoyote ile kwake twende anacheza, ongera...
10 years ago
CloudsFM13 Apr
Wema Sepetu alia na wanaomsakama kuwa hazai,Riyama Ally amtia moyo
Staa wa Bongo,Wema Sepetu amewafungukia baadhi ya watu wanaomsakama mara kwa mara kuwa hawezi kupata mtoto na kwamba yeye ni mgumba.
Kupitia mtandao wa Instagram Wema aliandika kuwa maneno hao yanamuumiza kama binadamu na angekuwa na uwezo wa kuzaa angezaa muda mrefu na kwamba hana na hawezi kumkufuru Mwenyezi Mungu.
Baada ya kuandika maneno hayo msanii wa filamu za Kibongo,Riyama Ally alimtia moyo na kumwambia hivi…. naomba hapa unisikie kwamakini nabii ibrahim alimpata na bii ismail akiwa...
10 years ago
Bongo Movies10 Jun
Riyama Ally Ala Shavu, Asaini Mkataba ‘Mnono’ na Kampuni Kubwa ya Filamu Nchini Kenya
Staa wa Bongo Movies, Riyama Ally amesaini mkataba mnono wa kucheza filamu na kampuni maarufu ya kusambaza filamu nchini Kenya.
Riyama alisema kuwa amefanya mazungumzo na kampuni hiyo mjini Mombasa na tayari wameshaanza kufanya kazi na kumlipa kitita kinono cha fedha ambacho hakukitaja.
Aidha amesema kuwa wadau wengine wa filamu nchini Kenya wametangaza dau kubwa zaidi ili msanii huyo aweze kucheza tamthilia zinazorushwa kwenye Televisheni mbali mbali nchini humo.
Cloudsfm.com
9 years ago
Global Publishers01 Jan
Thea atetwa kwa vimini, acharuka!
Msanii mkongwe wa fi lamu Bongo, Ndumbagwe Misayo ‘Thea’Gladness Mallya.
MSANII mkongwe wa fi lamu Bongo, Ndumbagwe Misayo ‘Thea’ amejikuta akitetwa akidaiwa kuwa mcharuko kwa kuvaa vimini hasa baada ya kuachana na mumewe, Michael Sangu ‘Mike’.
Kutetwa huko kumeonekana kumkera sana Thea ambaye juzikati akichonga na Ijumaa alisema, anawashangaa wanaomsema vibaya kwani anaamini anaishi maisha anayotaka yeye na wala hakuna anayeweza kumzuia.
“Mimi napenda kuvaa vimini tangu zamani na sasa...
10 years ago
Bongo Movies06 Apr
Mpya Kutoka Kwa Riyama
Staa mwenye kiwango cha juu kabisa kutoka Bongo Movies, Riyama Ally anakuja na kazi hii ya mikono yake.
"WAKALA WA MAUTI " Ni kazi ya mikono yangu namuomba Mungu anijalie iwe miongoni mwa kazi bora inshallah amin iko ktk maandalizi ya mwishoni support yenu muhimu sana waungwana wa mimi damwani nimeicheza morogoro humo ndani utakutana na Keisha , Hemedy Phd na mimi mwenyewe RIYAMAALLY...... Na wengine Kibao Kaeni mkao wakula wadau wetu!!!”- Riyama alimaliza mara baada ya kubandika picha...
11 years ago
GPLRIYAMA NJIA PANDA KWA MITUNGI