BONGO MOVIE STAR RIYAMA ALLY AKIONGEA NA SPORAH
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM18 Feb
Riyama; Waigizaji 'Bongo Movie' hawapendani.
MWIGIZAJI wa filamu za Bongo, Riyama Ally ‘Riyama’, amesema anachukizwa na vitendo vya waigizaji kushindwa kuonyeshana upendo wa kweli.
Akizungumza jijini hivi karibuni, Riyama alisema mara nyingi amekuwa akijaribu kuonyesha upendo kwa kila msanii hata kama amemkosea. “Ninachukizwa sana na waigizaji ambao unakuta wanagombana na kushindwa kusameheana kwa vitu vidogo,” alisema Riyama.
Alisema upande wake amekuwa muwazi na kupenda kumueleza ukweli mtu anayemkosea ili kujenga ukaribu na...
10 years ago
Bongo Movies07 Dec
TBT: Nagris Kabla ya U-Miss na Ndoto za Kuwa “Bongo Movie Star”
Muigizaji wa filamu, Nagris Mohammed aliiweka kwenye ukurasa wake kwenye mtandao wa INSTAGRAM, kama TBT, ikimuonyesha kipindi akiwa bado binti akiwa pamoja na marafiki zake.
TBT (Throw Back Thursday) ni neno maarufu kwenye mtandao wa Instagram, ambapo watu huwekwa picha siku Alhamis nakuweka alama ya #TBT. Watu huweka picha zao za zamani kama kipindi wapo shule, na wengine wakati wanatambaa au matukio ya zamani sana. picha hizi mara nyingi hufurahisha wengi sio wanaziweka tu bali...
10 years ago
GPL
RIYAMA ALLY ALILIA NDOA!
10 years ago
Mtanzania30 Apr
Riyama Ally: Najifunza kwa Thea
NA RHOBI CHACHA
STAA katika uigizaji, Riyama Ally, ameibuka na kudai kwamba vitu vingi vya uigizaji hujifunza kutoka kwa msanii mwenzake, Ndumbaro Misayo ‘Thea’.
Riyama alisema Thea ni msanii zaidi yake na huwa hajibweteki kwa kulewa sifa kama walivyo baadhi ya waigizaji, ndiyo maana hupenda kujifunza kwake.
“Mimi najiamini na huwa napenda kumpa pongezi mtu anayefanya vizuri katika sanaa, Thea tangu alivyoanza kuigiza hajawahi kutetereka kwa kuwa halewi sifa za mashabiki wake, hivyo ni mfano...
11 years ago
Bongo Movies20 Jul
Kitale (Mkude Simba) amwagia sifa kedekede Riyama Ally.
Kupitia ukurasa wa mtandao mmoja maarufu wa kijamii nchini, mwigizaji wa vichekesho na filamu nchini, Kitale almaarufu kama Mkude Simba amemwamgia sifa kedekede mwigizaji mwigine anayefanya vizuri kwenye upande wa filamu nchini Riyama Ali kama ishara ya kuonesha upendo wake kwa mwanadada huyo.
Huku akiwa ameweka picha ya mwanadada Riyama, Kitale aliandika
"Huyu mdada mm napenda kumuita kambi popote kwa maana ya kwamba achagui scene yy ukimpa scene yoyote ile kwake twende anacheza, ongera...
10 years ago
CloudsFM13 Apr
Wema Sepetu alia na wanaomsakama kuwa hazai,Riyama Ally amtia moyo
Staa wa Bongo,Wema Sepetu amewafungukia baadhi ya watu wanaomsakama mara kwa mara kuwa hawezi kupata mtoto na kwamba yeye ni mgumba.
Kupitia mtandao wa Instagram Wema aliandika kuwa maneno hao yanamuumiza kama binadamu na angekuwa na uwezo wa kuzaa angezaa muda mrefu na kwamba hana na hawezi kumkufuru Mwenyezi Mungu.