Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TBT: Nagris Kabla ya U-Miss na Ndoto za Kuwa “Bongo Movie Star”

Muigizaji wa filamu, Nagris Mohammed  aliiweka kwenye ukurasa wake kwenye mtandao  wa  INSTAGRAM, kama TBT,  ikimuonyesha kipindi akiwa bado binti akiwa pamoja na marafiki zake.

 TBT (Throw Back Thursday) ni neno maarufu kwenye mtandao wa Instagram, ambapo watu  huwekwa picha siku  Alhamis nakuweka alama ya #TBT. Watu huweka picha zao za zamani kama kipindi wapo shule, na wengine wakati wanatambaa au matukio ya zamani sana. picha hizi mara nyingi hufurahisha wengi sio wanaziweka tu bali...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

10 years ago

GPL

UZINDUZI WA BONGO STAR SEARCH 2015 “JUKWAA LAKO- KUWA ORIGINAL”

Kushoto ni Madam Rita, kabla ya uzinduzi akiwa na mmoja wa wadau, kulia ni mbunifu wa mitindo nchini Ally Remtullah. …akizindua awamu nyingine ya shindano la BSS kwa mwaka 2015.…

 

10 years ago

Bongo Movies

Nagris: Mazoezi Hunifanya Nizidi Kuwa Mrembo

Miss Tanzania namba tatu (2003/04) ambae kwasasa ni mwajiliwa na vile vile ni muigizaji, Nagris Mohamed  amesema siri ya yeye kuzidi kuonekana mrembo na mwenye mvuto tofauti na wadada wengi wenye watoto (kama ambavyo yeye ana mtoto mmoja)  na umri sawa na wake.

Nagris amesema mazoezi ndio kitu pekee ninacho mfanya aonekane bomba, akiongea kwa utani, Nagris alisema;

"Gym mpaka lundenga akiniona anisahau aniambie dada samahani shiriki mis 2015 tutaenda kukuombea kwa wazazi wako"

Hapo juu ni...

 

10 years ago

Bongo Movies

Nagris:Mazoezi Hunifanya Nizidi Kuwa Mrembo

Miss Tanzania namba tatu (2003/04) ambae kwasasa ni mwajiliwa na vile vile ni muigizaji, Nagris Mohamed  amesema siri ya yeye kuzidi kuonekana mrembo na mwenye mvuto tofauti na wadada wengi wenye watoto (kama ambavyo yeye ana mtoto mmoja)  na umri sawa na wake.

Nagris amesema mazoezi ndio kitu pekee Kinachomfanya aonekane bomba, akiongea kwa utani, Nagris alisema;

"Gym mpaka lundenga akiniona anisahau aniambie dada samahani shiriki mis 2015 tutaenda kukuombea kwa wazazi wako"

Hapo juu ni...

 

9 years ago

MillardAyo

Magari 11 ya mastaa wa Bongo Fleva/Bongo Movie 2015 (+Picha)

Najua nina watu wangu mnaopenda kufahamu magari wanayomiliki mastaa mbalimbali wakiwemo Bongo Movie na Bongo Fleva, sasa hapa nimefanikiwa kupata picha 11 za mastaa wanaomiliki magari makali Dar es Salaam. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK […]

The post Magari 11 ya mastaa wa Bongo Fleva/Bongo Movie 2015 (+Picha) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

5 years ago

Bongo5

Wasanii wa Bongo Movie wanaishi ‘Ki Bongo Flava’ – Nikki wa Pili

Msanii wa hip hop kutoka Weusi, Nikki wa Pili, ametia neno katika sakata linaloendelea la kupigwa marufuku kwa filamu za nje kwa madai zinaingizwa bila kulipiwa kodi hali ambayo imesababisha kuwa nyingi na kuzinyima filamu za ndani nafasi ya kufanya vizuri sokoni.

Hatua hiyo imekuja baada ya siku ya Jumatano wiki hii baadhi ya wasanii wa filamu nchini kuandamana wakiwa na Mkuu wa Mkoa Dar es salaam, Paul Makonda, kupinga filamu hizo ambapo RC huyo alipiga marufuku filamu hizo huku akitaka...

 

10 years ago

Bongo Movies

Lulu Asema Wasanii Wengi wa Bongo Movie Hawajieliwi, Tofauti na Bongo Fleva

Mrembo na muigizaji wa filamu za kibongo, Elizabeth Michael, ‘Lulu’ amesema wasanii wengi wa filamu hawana mawazo ya maana na hawafikiriimambo makubwa kuhusu wanachokifanya. Bali hufanya tu kwa sababu  wapo katika jamii na ahahisi wale wa bongo fleva wanafikiri zaidi yao

“ Unawaza kwanza kIsha unatenda, wasanii wa filamu hatuna mawazo mazuri zaidi ya ubishoo tu, hatuoni  mbali  hatuna wivu wa kimaendeleo leo unakuta msanii wa Bongo Fleva wanatoka nnje na wanarudi na tuzo lakini sisi tumekaa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani