Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Onyango amshinda Atuihairwe wa Uganda

.James Onyango wa Kenya alimshinda Patrick Atuihairwe wa Uganda na kutwaa ubingwa wa Jumuiya ya Madola Afrika uzani wa welter katika pigano lililofanyika Ijumaa mjini Nairobi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Onyango Atoboa Kinachoua Wasanii

ISSA Joseph ‘Mzee Onyango’ amewashukia wasanii wa filamu kwa kuwaambia kitu kinachosababisha kuchuja mapema katika sanaa ya uigizaji tofauti na wasanii wakongwe kama yeye ambao wamedumu katika tasnia hadi leo, Mzee Onyango anasema wasanii wanavimba vichwa.

“Hawa wasanii wengi hawataki kushauri kwa lolote, akisifiwa kidogo tu, anavimba kichwa na kujiona hana haja ya kufuatilia ushauri kutoka kwa mtu mwingine anajiona anajua, hawabadiliki na hawezi kukaza buti,”anasema Mzee Onyango.

Onyango...

 

10 years ago

TheCitizen

ONYANGO-OBBO: Ebola could kill democracy in Africa

>The world is falling behind in a desperate race to stop the deadly Ebola outbreak, Anthony Banbury, head of the UN Mission for Ebola Emergency Response warned amid dire predictions that thousands of new infections are possible before year’s end.

 

10 years ago

Bongo Movies

Onyango Atoboa Kinacho Waua Wasanii wa Leo!

Mkongwe wa  komedi  hapa Bongo, ISSA Joseph ‘Mzee Onyango’ amewashukia wasanii wa filamu kwa kuwaambia kitu kinachosababisha kuchuja mapema katika sanaa ya uigizaji tofauti na wasanii wakongwe kama yeye ambao wamedumu katika tasnia hadi leo, Mzee Onyango anasema wasanii wanavimba vichwa.

“Hawa wasanii wengi hawataki kushauri kwa lolote, akisifiwa kidogo tu, anavimba kichwa na kujiona hana haja ya kufuatilia ushauri kutoka kwa mtu mwingine anajiona anajua, hawabadiliki na hawezi kukaza...

 

10 years ago

Bongo Movies

Riyama Amshuru Mungu Kwa Kumkutanisha na Mzee Onyango!!

"Leo nimekutana na baba yangu kipenzi changu kipenzi cha wengi Mzee onyango Dah asante mungu nilikua namuona katika TV kabla sijawa msanii wala sijafikiri kua msanii leo kwa mapenzi yako umenikutanisha nae kweli mungu mwema sana nawajali na wa heshimu na kuwapenda walio nitangulia katika TASNIA hii ya uigizaji kwani wao ndio kioo changu Nawapenda sanaaaaaaaaaa mungu atuwekee amin"-Riyama amabe ni moja kati waigizaji wa kike wanaofanya vizuri kwasasa hapa Bongo aliandika hayo mara baada ya...

 

10 years ago

TheCitizen

ONYANGO-OBBO: Stop twerking and get dancing, life is too short

>In August the Kenyan blog TheGatunduPrince published an interesting list of “East Africa 30 most watched videos on YouTube.”How shall we put this? Ugandans, according to TheGatunduPrince’s list, seem to be East African kings of music video.

 

10 years ago

TheCitizen

ONYANGO-OBBO: A man eateth where he worketh, so some eat from their flocks

>It seems the dust is settling on the “‘Prophet Dr” Victor Kanyari saga, and it’s the right time to bring some history and a global perspective in the matter.

 

5 years ago

BBC

Ugandan and Mamelodi Sundowns goalkeeper Denis Onyango on how he is working to keep fit.

Ugandan and Mamelodi Sundowns goalkeeper Denis Onyango is still working hard to keep fit, despite the uncertainty surrounding the return of football in South Africa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Floyd Mayweather amshinda Pacquiao

Bondia wa Marekani Floyd Mayweather ameshinda pigano lililosubiri kwa wingi katika miongo kadhaa.

 

9 years ago

BBCSwahili

Venus Williams amshinda Konta

Muingereza Johanna Konta amefungwa na nyota namba moja wa zamani wa mchezo wa tenesi Mmarekani Venus Williams

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani