Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Frank Amshushia Lawama Riyama kwa Kumzibia Riziki

Mwigizaji  mkongwe wa filamu za hapa Bongo, Mohammed Mwikongi maarufu kama Frank, amedai kuwa mwigizaji mwenzie Riyama Ally anamzibia riziki kiasi kwamba sasa anamsaka ili amweleze kitu gani aliwahi kumkosea.

Akizungumza jijini hivi karibuni, Frank alisema anamtafuta Riyama ili aweze kumwambia ni kwa nini inakuwa hivyo kwa sababu katika filamu zote ambazo yeye anatakiwa kucheza, mwenzake huyo huwepo na ndiye anayependekeza watu watakaohusika na filamu hiyo.

“Tukiacha ile filamu...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BABA AMSHUSHIA LAWAMA MAMA KANUMBA

Stori: Chande Abdallah na Shani Ramadhani BABA wa marehemu Steven Kanumba, Charles Kanumba amemshutumu mzazi mwenziye, Flora Mtegoha, kuwa amekuwa na tabia endelevu ya kumtenga kwenye shughuli za mwanaye. Mama wa marehemu Steven Kanumba, Charles Kanumba Flora Mtegoha, Akipiga stori na waandishi wetu, alisema anamshangaa mama huyo kumtenga mara kwa mara katika ishu za marehemu mwanaye ambapo alitolea mfano wa maadhimisho ya...

 

10 years ago

GPL

FRANK: RIYAMA ANANIZIBIA!

Nyota wa filamu za Kibongo, Mohammed Mwikongi maarufu kama Frank. Stori: Hamida Hassan na Shani Ramadhani
NYOTA wa filamu za Kibongo, Mohammed Mwikongi maarufu kama Frank, amedai kuwa msanii mwenzie Riyama Ally anamzibia riziki kiasi kwamba sasa anamsaka ili amweleze kitu gani aliwahi kumkosea. Akizungumza jijini hivi karibuni, Frank alisema anamtafuta Riyama ili aweze kumwambia ni kwa nini inakuwa hivyo kwa sababu katika...

 

9 years ago

Dewji Blog

Van Gaal akubali kubeba lawama, awataka mashabiki wasiwatupie lawama wachezaji wake

Kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal

Kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal.

Na Rabi Hume

Kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal amewataka mashabiki wa klabu hiyo ya Manchester United kuacha kuwatupia lawama wachezaji wake na anaestahili kubeba lawama hizo ni yeye mwenyewe.

Van Gaal ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari kuelekea kwa mchezo wa Ligi kuu ya Wingereza ambapo timu yake inatarajiwa kucheza na klabu ya West Bromwich Albion mchezo unaotarajiwa kucheza katika uwanja wa Old Trafford siku ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mbowe: Siwezi kumzibia Zitto

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amewataka wananchi wa Mkoa wa Kigoma kuijua historia ya mageuzi ya Mkoa huo ili kuepuka kuwalaumu viongozi wanaosimamia vyama hivyo...

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Pindi Chana azindua kampeni ya Mpe riziki si matusi yenye lengo la kuondoa lugha chafu na matusi kwa wanawake wa sokoni

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Dkt. Pindi Chana (Mb) akizundua kampeni ya Mpe riziki si matusi yenye lengo la kuondoa lugha chafu na matusi kwa wanawake wa sokoni na wanaofanya shughuli zao katika sekta zisizo rasmi. Uzinduzi huo umefanyika katika ukumbi wa Belinda Jijini Dar es salaam tarehe 27 Februari 2015. Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Dkt. Pindi Chana akizungumza mara baada ya kuzindua kampeni ya Mpe riziki si matusi yenye lengo la...

 

11 years ago

Mwananchi

Dk. Kigwangalla amshushia tuhuma Sitta

>Mjumbe wa Bunge la Katiba, Dk. Abdalah Kigwangalla, jana alimtuhumu waziwazi Mwenyekiti Samuel Sitta kuwa anapendelea kundi la walio wachache.

 

10 years ago

GPL

DIWANI AMSHUSHIA KIPIGO DENTI

Deogratius Mongela na Chande Abdallah DIWANI wa Kata ya Sinza kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jijini Dar, Renatus Pamba ‘Mr. Simple’ anadaiwa kumshushia kipigo denti wa Chuo cha Ubaharia cha EMI jijini Dar, Alpha Mohamed (18) mpaka kumsababishia kupoteza fahamu, Risasi Jumamosi  limenyetishiwa. Kijana Alpha Mohamed anayedaiwa kujeruhiwa na diwani huyo. Kwa mujibu wa mjomba wa Alpha,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lawama haitoshi kwa ndoa za utotoni

KWA miaka nenda miaka rudi sasa imekuwa ni kawaida panapokaribia mwezi mtukufu wa Ramadhani kuona sherehe za harusi zimetanda karibu kila pembe ya Zanzibar. Watu hufurahi na kula mapochopocho na...

 

10 years ago

Mwananchi

Mechi ya lawama kwa Nooij, Stars

Dar es Salaam. Ni mtihani wa kwanza kwa kocha Martin Ignatius Nooij anapoanza safari ndefu na ngumu ya kulinda au kupoteza kibarua chake akiwa na kikosi cha Stars.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani