DIWANI AMSHUSHIA KIPIGO DENTI
![](http://api.ning.com:80/files/iRGkQSu08cuT-TTxkGKgnaBIpy3BBNskzYv8i6ZBnzSOpDVPwddvzUBfPNL2YZBcyH7KmPr6oTcJWhWjT7WcvhuShmJJrHov/diwani.jpg)
Deogratius Mongela na Chande Abdallah DIWANI wa Kata ya Sinza kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jijini Dar, Renatus Pamba ‘Mr. Simple’ anadaiwa kumshushia kipigo denti wa Chuo cha Ubaharia cha EMI jijini Dar, Alpha Mohamed (18) mpaka kumsababishia kupoteza fahamu, Risasi Jumamosi limenyetishiwa. Kijana Alpha Mohamed anayedaiwa kujeruhiwa na diwani huyo. Kwa mujibu wa mjomba wa Alpha,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jk1qJfh5Fa5SAVbbxLmYhPYGufjjff2JcSn3mVBR-wHZi1unZmtFQWhOBy7yafJ8CqyROjwSxTOYMO8kIk3rz3MhOu3*P22N/hoi.jpg?width=650)
DENTI ANAYEDAIWA KUPIGWA NA DIWANI HOI HOSPITALINI!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Iiq-5qTP3-kalmG*gYTl3nUd9S1OB-*C6HldDgOKNfb51UYRl3MpetZLd3o7pKgDkrBFXJ2JbY--83nWVES7xKEqOH0bMj8q/FRONTUWAZI.jpg?width=650)
UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA, DIWANI CCM ANUSURIKA KIPIGO
11 years ago
Mwananchi15 Apr
Dk. Kigwangalla amshushia tuhuma Sitta
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/q34XLvoT5YiSShrCcUkr-tScGBek5GPM2HP*gNJTcswFhlngeXl1HTTJdnl5*-5ZNkkIBMsN89brvCu880*NToaNK*ON7fMP/wema.jpg?width=650)
BABA AMSHUSHIA LAWAMA MAMA KANUMBA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Q7T2q86GkzXwNflOhDKo5JHZ4bTAXK8PPtRa40dfkvPRRCCMTzMl8bdJ0FxFrM**V8JlL-ovgW63disT51sKb6dCDUsjpKcJ/jini.jpg)
BAADA YA KADINDA, WEMA AMSHUSHIA MABUSU MTANGAZAJI
10 years ago
Bongo Movies07 Jan
Frank Amshushia Lawama Riyama kwa Kumzibia Riziki
Mwigizaji mkongwe wa filamu za hapa Bongo, Mohammed Mwikongi maarufu kama Frank, amedai kuwa mwigizaji mwenzie Riyama Ally anamzibia riziki kiasi kwamba sasa anamsaka ili amweleze kitu gani aliwahi kumkosea.
Akizungumza jijini hivi karibuni, Frank alisema anamtafuta Riyama ili aweze kumwambia ni kwa nini inakuwa hivyo kwa sababu katika filamu zote ambazo yeye anatakiwa kucheza, mwenzake huyo huwepo na ndiye anayependekeza watu watakaohusika na filamu hiyo.
“Tukiacha ile filamu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/7C-F8e0yGIYxCRvXu3fCizytbuCp2xiigobSYAwqzZkkDXnn8lGxzgFHb2qhYS-HyooFp6sZ2Fefz8vRhqukpu0SXKSbke46/denti.jpg?width=650)
DENTI AJICHOMA KISU!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uw8ZJ9XBTbV1fFwWwIpGpyswEMSrWFTiHj4y7jXabEcr7a3KND9LO2DvHn1pz8eM2WujxQY82wrmSKxgkUO2-sApvxwisgnV/denti.jpg)
DENTI AFAULU, APOTEA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6Yi1*KCqJUTnZbIjggh5db*cvnzv88C33-z*nTFZzyYl9OBaApWeqvWyj8kfGD4RmzHn-1JhcVyLy0*0-7mEThV6YHIbQIA3/denti2.jpg)
DENTI MIAKA 12 AOLEWA