Christian Bella awa kiburudisho sherehe ya Tiffah
NA CHRISTOPHER MSEKENA
MASTAA wengi wamejitokeza kuiona sura ya mtoto wa msanii, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, anayeitwa Lattifah ‘Tiffah’ baada ya kutimiza siku 40 tangu alipozaliwa.
Baadhi ya mastaa waliohudhuria katika sherehe ya kutolewa mtoto huyo ni Aunt Ezekiel, Mrisho Mpoto, Queen Dareen, Shetta, Christian Bella, Dj Ommy na wengine wengi.
Msanii Christian Bella ndiye alikuwa mtumbuizaji mkuu katika sherehe hiyo na kukonga nyoyo zao hasa alipoimba wimbo wa ‘Ukimuona’, ambao ni...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo515 Dec
Bella kuja na ‘Christian Bella House of Talents’
![12301240_431794427022691_698500110_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12301240_431794427022691_698500110_n-300x194.jpg)
Staa wa muziki, Christian Bella ameweka wazi mpango wake wa kuanzisha lebo yake ya muziki ‘Christian Bella House of Talents’ itakayosaidia vijana wenye vipaji vya kuimba.
Muimbaji huyo aliyeachia wimbo ‘Acha Kabisa’ akiwa na Koffi Olomide hivi karibuni, ameiambia Bongo5 kuwa anafanya hivyo ili kuwasaidia vijana wanaotaka msaada wake.
“Mpango wangu mkubwa kwa mwaka 2016 ni kuanzisha record label yangu ambayo itaitwa Christian Bella House of Talents,” amesema.
“Itakuwa inasaidia vijana wenye...
9 years ago
Bongo526 Oct
Music: Christian Bella — Umefulia
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8k2*97pl68xXzXfwLzSnf5et*1bgxiZSvqPBpLUvPNG38miKxcLssqKFXUzhzeP3uAPrHr8JkfcFclLIezDPhfb-rD3I4bYm/frontWIKIENDA.jpg?width=650)
HAKUNA KAMA CHRISTIAN BELLA
10 years ago
Bongo521 Jan
New Music: Linah f/ Christian Bella — Hellow
10 years ago
Bongo514 Feb
New Music: Christian Bella — Ukimwona (Remix)
10 years ago
Mtanzania15 Apr
Christian Bella: Belle 9 hana nyota
Na Festo Polea
MWANAMUZIKI Christian Bella ‘King of melody’, amesema kwamba msanii wa bongo fleva, Ablenego Damian ‘Belle 9’, amekosa nyota ya kung’aa ingawa ana uwezo mkubwa wa kuimba kwa kutumia sauti yake.
Christian Bella alisema hayo katika kipindi cha ‘Mboni Show’. Alisema kati ya wasanii watatu wanaomvutia kwa kujua kuzitumia sauti zao, Belle 9 ni mmoja wao.
Aliwataja wasanii wengine kuwa ni Ali Kiba na Diamond.
“Nisiwe mnafiki, Diamond hana sauti nzuri kama Ali Kiba katika kuimba na...
9 years ago
Bongo517 Nov
Video: Pah One Ft Christian Bella – Magoma
![pah-one](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/pah-one-300x194.jpg)
Kundi la Pah One wameachia video mpya ya wimbo unaitwa “Magoma” wamemshirikisha Christian Bella, Video imeongozwa na Minzi Mims.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
GPL30 Mar
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1lp73GxRT8YVkpMdcA2xv*V0t6RBEPkYPu39tplDdZRIoiiuU9IrIPchjKPaB3Ve5KbLJaCIsCNs2lV2VKvvqO*U3ZzFj0R8/1.jpg?width=650)
CHRISTIAN BELLA KUFANYA USIKU WA MASAUTI