CHRIS BROWN ASHINDA KESI YA MWANAYE
![](http://api.ning.com:80/files/rkTNz-F-b8bfWVD1JSbRwBHqb2QcB2HlJm7FCUt4fmRnz09yHluPnS7AfgOBHOhbyWOmqST7H1iz2g5*VrQl6TfMmYV4DNoz/chrisbrown120505.jpg?width=650)
Mwanamuziki Chris Brown. Houston, Marekani MSANII Chris Brown amefanikiwa kushinda kesi aliyofunguliwa na mzazi mwenzake, Nia Guzaman, aliyekuwa akililia kupata haki zote za kuishi na mtoto wao, Royalty lakini sasa Mahakama ya Houston imeamua wote watalazimika kukaa na mtoto huyo kwa 50%. Mtoto wa  Chris Brown, Royalty. Wazazi hao hawaishi pamoja lakini wote wanakaa mitaa ya Los Angeles. Nia alikuwa akililia haki za...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo517 Oct
Picha: Chris Brown azidi kuonesha mapenzi kwa mwanaye ‘Royalty’ kwenye cover ya album mpya aliyoipa jina la mtoto huyo
10 years ago
Bongo527 Jan
Kesi ya kumdunda Rihanna yamsababisha Chris Brown aahirishe ziara yake
9 years ago
Bongo529 Sep
Mtoto wa Chris Brown sasa ni Royalty Brown rasmi
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1zNsEY*-CrI4kVsvCxhTL1*mu2U*Z-rwewb7YxQyrDmJqZiZ1aPuNG5gnmUrICIjVl6SB4AYoLKkoyVI8wYFNUn9AXTfOa*F/chrisbrown.jpg?width=650)
CHRIS AMTUMIA MWANAYE KWENYE ALBAMU MPYA
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-3v9ncL00ffs/VJf72HR2AtI/AAAAAAAAC9Q/TGFD34WTT44/s72-c/image.jpg)
NEWZ ALERT:JOHNSON LUKAZA WA KESI YA EPA ASHINDA KESI
![](http://2.bp.blogspot.com/-3v9ncL00ffs/VJf72HR2AtI/AAAAAAAAC9Q/TGFD34WTT44/s640/image.jpg)
Na Happiness Katabazi (UB)HATIMAYE Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, imemwachilia huru Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin, Johnson Lukaza na mdogo wake Mwesiga Lukaza waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya wizi wa Sh.Bilioni Sita Katika Akaunti ya Madeni ya Nje ya Benki Kuu(EPA), baada ya kumuona Hana hatia Katika Kesi iliyokuwa ikimkabili.
Hukumu hiyo Imetolewa Jaji wa Mahakama Kuu Edson Mkasimongwa aliyekuwa alisaidia na Hakimu Mkazi Pamela Mazengo....
9 years ago
Bongo518 Sep
Video: Chris Brown — Zero
9 years ago
GPL03 Nov
9 years ago
Bongo527 Nov
Music: Chris Brown – Fine By Me
![breezy-smile](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/breezy-smile-300x194.jpg)
Recently, he announced a new release date of Dec. 18 for Royalty. Although loyalists of Team Breezy will have to wait a bit longer, he’s promised to make the album available for pre-order on Black Friday (Nov. 27). Once fans do pre-order the project, they’ll get to hear “Fine By Me.”
The track channels similar vibes Brown has been feeling lately on his previous songs. It’s part ’80s nostalgic and part EDM, which all ties together with a soaring hook.
Jiunge na Bongo5.com...