Christian Bella anaamini ‘Nagharamia’ ukipewa ‘airtime’ utakuwa mkubwa
Mkali wa masauti, Christian Bella amekiri wimbo wake mpya aliomshirikisha Alikiba ‘Nagharamia’ haupo kwenye mzunguko mzuri kwenye redio kama ilivyotarajiwa na kwamba ukipewa airtime utakuwa mkubwa.
Akizungumza na Bongo5 leo, Bella alieleza sababu ya kwanini wimbo huo umeshindwa kufanya vizuri kama ilivyotarajiwa ukilinganisha na ukubwa wa wasanii waliomo.
“Ngoma bado haina mzunguko kusema kweli, kwa sababu ilitambulishwa redio moja tu na bado haijakaa bado kwenye promotion,”...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo521 Dec
Tazama picha za behind the scenes za video ya ‘Nagharamia’ ya Alikiba na Christian Bella
Alikiba na Christian Bella wameachia video ya wimbo wao wa pamoja ‘Nagharamia’ iliyoongozwa na Enos Olik jijini Nairobi Kenya.
Kwenye video hiyo anaonekana msichana mrembo sana ambaye wawili hao wote anawachanganya.
Ina kisa kizuri ambacho mwisho wa siku Kiba ndiye anaondoka na mzigo na kumuacha Bella akijichekea tu kwa butwaa. Tazama picha za utengenezaji wa video hiyo hapo chini.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili...
9 years ago
MillardAyo20 Dec
Tumealikwa kuitazama video mpya ya ‘Nagharamia’ ya Alikiba na Christian Bella hapa !
Ni wimbo wa pamoja wa Alikiba na Christian Bella na video ilifanywa Afrika Kusini… itazame hapa chini alafu tuachie comment yako umeionaje na itawafikia.
The post Tumealikwa kuitazama video mpya ya ‘Nagharamia’ ya Alikiba na Christian Bella hapa ! appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Bongo515 Dec
Bella kuja na ‘Christian Bella House of Talents’
Staa wa muziki, Christian Bella ameweka wazi mpango wake wa kuanzisha lebo yake ya muziki ‘Christian Bella House of Talents’ itakayosaidia vijana wenye vipaji vya kuimba.
Muimbaji huyo aliyeachia wimbo ‘Acha Kabisa’ akiwa na Koffi Olomide hivi karibuni, ameiambia Bongo5 kuwa anafanya hivyo ili kuwasaidia vijana wanaotaka msaada wake.
“Mpango wangu mkubwa kwa mwaka 2016 ni kuanzisha record label yangu ambayo itaitwa Christian Bella House of Talents,” amesema.
“Itakuwa inasaidia vijana wenye...
9 years ago
Bongo526 Oct
Music: Christian Bella — Umefulia
10 years ago
GPLHAKUNA KAMA CHRISTIAN BELLA
9 years ago
Bongo512 Nov
New Music: Christian Bella f/ Alikiba — Nagharamia
Christian Bella na Alikiba wameachia collabo yao ‘Nagharamia’ iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu. Isikilize hapo chini.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
GPL30 Mar
10 years ago
Bongo521 Jan
New Music: Linah f/ Christian Bella — Hellow
10 years ago
Mtanzania28 Apr
Kitime akosoa muziki wa Christian Bella
NA GEORGE KAYALA
MKONGWE wa muziki wa dansi nchini, John Kitime, ameukosoa muziki wa mwanamuziki mwenzake, Christian Bella, kwa madai kwamba una mapungufu mengi ya kiufundi.
Kitime alitoa hayo mwishoni mwa wiki, alipotembelea ofisi za Kampuni ya New Habari (2006) Ltd, iliyopo Sinza Kijiweni, inayochapisha magazeti ya Mtanzania, Bingwa, Dimba, The African na Rai.
Kitime alisema mwanamuziki huyo ana sauti nzuri ya uimbaji, ila muziki wake umekosa vionjo, ndiyo maana unakosa uhai wa muda mrefu...