Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chuo Kikuu Moi chashinda mahakama ya mfano

CHUO Kikuu cha Moi Kenya kimeshinda mashindano ya majaribio ya mahakama ya mfano baada ya kuvishinda vyuo vikuu 11 vilivyoingia fainali ya mashindano hayo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA USHIRIKA NA BIASHARA MOSHI (MUCCOBS) CHAWA CHUO KIKUU KAMILI

Baadhi ya wahadhiri wa MoCU (MOSHI CO-OPETATIVE UNIVERSITY) wakiwa kwenye picha ya pamoja.. Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA), Mhe. Philemon Luhanjo (wa nne kulia waliokaa ) akiwa katika picha ya wajumbe wa bodi na wahadhiri wa chuo hicho. CHUO Kikuu Kishiriki cha Ushirika na Biashara Moshi (MUCCOBS), kimekuwa chuo kikuu rasmi ambapo kwa sasa kitaitwa Chuo Kikuu Cha Ushirika Moshi (MoCU). Taarifa hiyo...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKAGUA CHUO KIKUU DAR NA CHUO KIKUU HURIA

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema uamuzi wa Serikali wa kukopa fedha ili kuboresha miundombinu kwenye taasisi za elimu ya juu nchini ulichukuliwa kwa lengo la kujibu tatizo la sasa la wingi wa vijana wanaohitimu kidato cha sita.
Ametoa kauli hiyo jana usiku (Ijumaa, Oktoba 10, 2014) wakati akizungumza na wahadhiri, wakufunzi, wanafunzi na wanajumuiya ya Chuo Kikuu Huria (OUT) mara baada ya kuzindua jengo la ghorofa 10 linalojulikana kama Ghorofa la Elimu ya Masafa ya Huria (Open Distance...

 

10 years ago

Vijimambo

MAHAFALI YA 5 YA CHUO KIKUU KIKUU CHA ST, JOHN DODOMA YAFANA.

Mkuu wa chuo kikuu kikuu cha St, John Askofu Dolnad Mtetemela katikati akiwa na viongozi wa kanisa la anglikan ambalo ndilo mmiliki wa chuo hicho walipokuwa kwenye mahafali ya tano ya chuo hicho. Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Philip Alfred aliyekuwa Mgeni Rasmi kwenye mahafali ya tano ya wanafunzi wa chuo kikuu cha St, John's cha mjini Dodoma akihuwahutubia wahitimu wa kozi mbalimbali wa chuo hicho. Mkuu wa Skuli za kidini akihutubia jambo kwenye mahafali hayo.Wahitimu wa Shahada ya sayansi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mahakama ziwe mfano wa kuona haki inatendeka

VICHEKESHO, burdani na kile ambacho siku hizi kinajulikana kama usanii, ni mambo yanayokubalika katika mambo mengi ya maisha ya kila siku. Hali hii ipo hata katika kazi kwani kwa kiasi...

 

9 years ago

StarTV

Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi chatajwa kuwa mfano

Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi MPA mkoani Kilimanjaro kimetajwa kuwa huenda kikawa chuo cha mfano kwa wakulima wa mbogamboga na matunda mkoani humo kutokana na kuanzisha kilimo bora cha kisasa ambacho kinatajwa kuleta tija zaidi.

Mkuu wa chuo hicho Matanga Mbushi amebainisha hayo wakati wa ziara ya mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Amos Makalla alipotembelea chuoni hapo na kujionea hali halisi ya kilimo hicho.

 Aslimia kubwa ya wakulima wa mbogamboga na matunda hapa nchini  hulima kwa...

 

9 years ago

GPL

MSOMI CHUO KIKUU AUAWA

Shani Ramadhani RIP! Kijana aliyefahamika kwa jina la Shelitiael Steven Mbise, aliyekuwa akisoma Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) amefariki dunia kwa kuchomwa kisu na muuza chipsi kufuatia kutofautiana. Kwa mujibu wa chanzo kutoka Dodoma, denti huyo alikuwa akichukua masters akiwa kwenye mwaka wake wa kwanza.
“Marehemu alikuwa amepanga chumba nje ya chuo, Mtaa wa Chako ni Chako lakini kipindi hiki chuo kimefungwa alikuwa hapa na...

 

9 years ago

Vijimambo

CHUO KIKUU DODOMA KUMUENZI JK

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Profesa Idris Kikula akimkabidhi Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi nakala ya kitambu kinachoelezea kwa kina historia ya Chuo Kikuu cha Dodoma. Katika Maelezo yake, Prof. Kikula amesema UDOM imeamua kuweka katika maandishi historia nzima ya Chuo hili ili kuepusha upotoshaji na upindishaji wa ukweli na kwamba UDOM inapanga kumuenzi Mhe. Rais Jakaya Kikwete ikiwa ni kutambua mchango wake katika...

 

9 years ago

GPL

ULINZI CHUO KIKUU MMH!

HUKU kumbukumbu za tukio la uvamizi wa kigaidi lililosababisha mauaji ya wanafunzi 147 wa Chuo Kikuu cha Garissa nchini Kenya zikiwa bado hazijafifia vichwani, hali ya ulinzi Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam ‘Mlimani’ inasababisha mguno kutokana na watu kupita ndani ya chuo hicho bila ukaguzi...Soma zaidi===>http://bit.ly/1IZmrIo

 

10 years ago

Habarileo

Bilal azindua chuo kikuu kipya

MAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal jana alikizindua rasmi Chuo Kikuu Kishiriki cha Marian (MARUCO) cha mjini Bagamoyo, huku akisema Serikali itashirikiana na wadau wa elimu nchini kuendelea kuboresha mazingira ya kufundishia na kujifunzia ili kutoa elimu bora na inayowatayarisha watanzania kujiajiri na kuajiriwa katika sekta ya umma na sekta binafsi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani