Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105

POPULAR ON YOUTUBE

Chupi za Afrika zinazosifika Ufaransa

Kampuni ya chupi Ufaransa, Atelier Augusti, imeamua kuwatumia mafundi Burkina Faso kushona nguo za ndani za wanawake

BBCSwahili

Read more

Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

UFARANSA YAAHIDI KUISAIDIA TANZANIA, AFRIKA KATIKA MAPAMBANO YA CORONA

Na Said Mwishehe, Michuzi TV

UFARANSA imesema kuwa  imeadhimia zimia kuisaidia Afrika na Tanzania katika mapambana na maambukizi ya Covid-19 huku ikisisitiza kuwa imeweka nguvu zaidi kwenye ambazo ziko hatarini zaidi.
Kwa mujibu wa Ufaransa ni kwamba Aprili 8 mwaka huu kupitia Rais wa nchi hiyo Emmanuel Macron ilitangaza kutoa msaada wa Sh.Euro bilioni 1.2 ili Kupambana na maambukizi ya Covid-19 katika Bara la Afrika.
Taarifa iliyotolewa leo kwa vyombo vya habari na Kitengo Cha Mawasiliano cha ...

5 years ago

CCM Blog

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete aagana na Balozi wa Ufaransa,amuaga pia Jaji wa Mahakama ya Afrika

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na balozi wa Ufaransa aliyemaliza muda wake nchini Mhe.Marcel Escure wakati balozi huyo alipokwenda kumuaga ikulu jijini Dar es Salaam.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na balozi wa Ufaransa aliyemaliza muda wake nchini Mhe.Marcel Escure wakati balozi huyo alipokwenda kumuaga ikulu jijini Dar es Salaam jana.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na balozi wa Ufaransa aliyemaliza muda wake nchini Mhe.Marcel Escure wakati balozi...

10 years ago

BBCSwahili

Chupi zazua kihoha Bungeni

Mbunge mmoja nchini Zimbabwe amezua kizaazaa bungeni alipotumia chupi za kina mama kusisitiza hatma ya raia masikini wa nchini hiyo ambao hawana uwezo wa kununua chupi mpya.

10 years ago

BBCSwahili

Je,unaweza kuvaa chupi ya mpenzi wako?

Chupi inayoweza kuvaliwa na watu wa jinsia zote sasa imeanza kuuzwa madukani nchini Marekani.

10 years ago

BBCSwahili

Chupi inayobana yamtoa m'bunge bungeni

Mbunge mmoja wa Canada alitoa sababu ambayo haijawahi kusikika iliomlazimu kutoka bungeni kwa haraka.

9 years ago

BBCSwahili

Kondomu yenye umbo la chupi Uganda

Kondomu hii ina umbo la suruali ya ndani ya wanawake, Inaweza kuvaliwa siku nzima na wanawake sawa na chupi aina ya ''g-string''

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani