Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CLUB OLYMPIA YA SINZA YAWAKA MOTO JANA USIKU

Haikuweza kufahamika kwa haraka chanzo cha ajali hiyo ya moto.Askari wa Zimamoto wakiendelea na jitihada za kumaliza kabisa moto huo...Gari la zimamoto likiwa eneo la tukio hadi leo asubuhi.Hali ya moshi iliendelea hadi asubuhi ya leo kama picha hizi zinavyoonekana.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

CLUB OLYMPIA YA SINZA-MORI YATEKETEA KWA MOTO

Mwonekano wa lango kuu la Club ya Olympia baada ya kuungua. Askari wa zima moto wakiwa kazini.…

 

11 years ago

GPL

SOKO LA KARUME LATEKETEA KWA MOTO TANGU JANA USIKU

Mali za wafanyabiashara zikiteketea. Waokoaji wakijitahidi kuzima moto. Kibaka akila kisago baada ya kujaribu kuiba wakati wengine wakililia…

 

11 years ago

Michuzi

Redd's Miss Sinza 2014 Kufanyika kesho Meeda Club Sinza

Mratibu wa shindano la Redd's miss Sinza 2014 Tinna Matutuna katikati akizungumza na waandishi wa Habari katika ukumbi wa mikutano wa Meeda Night Club sinza juu ya Shindano la Redd's Miss Sinza litakalofanyika kesho ijumaa katika ukumbi wa Meeda Night Club kwa kiingilio cha 5,000 kwa viti vya kawaida na 10,000 kwa Viti Maalum .kushoto na kulia ni baadhi ya warembo wa shindano hilo. =======  ====== ===== MNYANGE atakayefanikiwa kuibuka mrembo wa kitongoji cha Sinza ‘ Redds Miss Sinza  2014’...

 

10 years ago

GPL

KLABU OLYMPIA IMETEKETEA KWA MOTO

Klabu Olympia iliyopo Mori, Dar imeteketea kwa moto leo alfajiri chanzo chake kikidaiwa kuwa ni hitilafu ya umeme. Jitihada za kuzima moto huo zinaendelea. Habari zaidi kuwajia baadae.

 

11 years ago

GPL

TMJ YAWAKA MOTO

Wakiendelea kuzima moto katika Hospital ya TMJ iliyopo Mikocheni Dar es salaam. Wagonjwa wakitolewa nje katika Hospital ya TMJ baada ya kuwaka moto. Hospital ya TMJ iliyopo Mikocheni Dar es salaam inawaka moto hivi sasa. Kwa mujibu wa taarifa za mashuhuda waliyopo eneo la tukio, moto huo umesababishwa na shoti ya umeme nyuma ya…

 

10 years ago

GPL

NDOA YA MAI YAWAKA MOTO!

Mayasa Mariwata na Gladness Malya Ooh…noo! Ile ndoa ya Mtangazaji Maimartha Jesse`Mai’ na mumewe, Raymond Shayo ‘Shaa’ inadaiwa kuwaka moto kufuatia ‘gogoro’ la ndani kwa ndani la mara kwa mara kwa wanandoa hao, kisa kikielezwa kwamba ni wivu uliokithiri wa mwanaume huyo. Kwa mujibu wa mtu wa karibu na staa huyo, Shaa amefikia hatua ya kumkataza Mai kuhudhuria kwenye shughuli mbalimbali za...

 

10 years ago

CloudsFM

NDEGE YAANGUKA YAWAKA MOTO

Mamlaka ya uwanja wa ndege imethibitisha kutokea kwa ajali ya ndege moja ambayo imegonga jengo la kuongozea ndege katika uwanja wa Wichita, Kansas Marekani.
Mashuhuda wa tukio hilo wamesema ndege hiyo imepata ajali hiyo muda mfupi uliopita ambapo iligonga jengo hilo na kuwaacha takribani watu kumi wakiwa wamenasa ndani ya jengo na haijafahamika bado kuhusiana na hali zao.

Hakuna taarifa zinazoelezea kuhusiana na ukubwa wa ndege hiyo wala idadi ya watu waliokuwamo ndani. Picha zilizoenea...

 

11 years ago

Michuzi

NYUMBA YAWAKA MOTO JIJINI MBEYA

Wakazi wa eneo la Makunguru jijini Mbeya wakiwa wamesimama nje nyumba iliopo kwenye eneo hilo ambayo imepatwa na dhahma ya kuungua moto na kuteketea kwa mali zote zilizokuwemo ndani ya nyumba hiyo,kutokana na hitilafu ya umeme iliyojitokeza.haijadhibitika mpaka sasa kama kuna mtu yeyote aliedhulia kwenye tukio hilo lililotokea mchana wa leo jijini humo. Sehemu ya mali zilizokuwemo kwenye nyumba hiyo zikiwa zimeteketea zote kwa moto huo. Majirani wakiangali kupitia dirishani kuona namna...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani