Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KLABU OLYMPIA IMETEKETEA KWA MOTO

Klabu Olympia iliyopo Mori, Dar imeteketea kwa moto leo alfajiri chanzo chake kikidaiwa kuwa ni hitilafu ya umeme. Jitihada za kuzima moto huo zinaendelea. Habari zaidi kuwajia baadae.

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

CLUB OLYMPIA YA SINZA-MORI YATEKETEA KWA MOTO

Mwonekano wa lango kuu la Club ya Olympia baada ya kuungua. Askari wa zima moto wakiwa kazini.…

 

10 years ago

Vijimambo

CLUB OLYMPIA YA SINZA YAWAKA MOTO JANA USIKU

Haikuweza kufahamika kwa haraka chanzo cha ajali hiyo ya moto.Askari wa Zimamoto wakiendelea na jitihada za kumaliza kabisa moto huo...Gari la zimamoto likiwa eneo la tukio hadi leo asubuhi.Hali ya moshi iliendelea hadi asubuhi ya leo kama picha hizi zinavyoonekana.

 

10 years ago

Michuzi

MAANDALIZI YA KILIMANJARO MARATHONI YAPAMBA MOTO,KLABU YA RIADHA YA HOLILI YAPELEKA WANARIADHA WAKE MAZOEZINI KENYA

Mkurugenzi wa klabu ya riadha ya Holili (HYAC) Domician Genand akizungumza juu ya maandalizi ya mbio za kimataifa za Kilimanjaro Maratahoni kwa wanariadha wake ambao baadhi yao amewapeleka nchini Kenya kwa ajili ya mazoezi.Baadhi ya wanariadha walioko katika kambi ya klabu ya riadha ya Holili wakicheza Draft ambapo miongoni mwao yumo mkimbiaji wa Kimataifa ,Osward Levelian ambaye anajiandaa na Mbio za Marathoni kilometa 42 zitakazofanyika nchini Nchina hivi karibuni.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Vijimambo

MAGARI TISA YATEKETEZWA KWA MOTO, NYUMBA 16 ZATIWA MOTO MGOGORO WA ENEO LA MALISHO SIHA

Mabaki ya nyumba yaliyoteketezwa kwa moto na wafugaji wa kimasaii wakidai eneo la malisho yao.(picha: Elias Kija, Siha, Kilimanjaro)Jeshi la Polisi likiwa limeimarisha ulinzi katika kijiji cha Miti-Mirefu wilayani Siha. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akiliangalia mojawapo la gari la mwekezaji lililochomwa moto katika eneo la Ndarakwai. Mwekezaji wa eneo la Ndarakwai wilayani Siha mkoani Kilimanjaro Peter Jones akizungumza na wanahabari katika eneo la tukio.Kwa picha na maelezo...

 

9 years ago

MillardAyo

Achana na klabu ya Lille ya Ufaransa,hii ndio klabu ya Ulaya inayotajwa kumsajili Mbwana Samatta

Headlines za mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta zinazidi kushika kasi, Samatta anatajwa kuwa katika mpango wa kwenda kucheza soka la kulipwa barani Ulaya,mara tu dirisha dogo la usajili la mwezi January litakapofunguliwa. Headlines ambazo zimenifikia kutoka katika mtandao wa www.voetbalkrant.com zinaripo nyota […]

The post Achana na klabu ya Lille ya Ufaransa,hii ndio klabu ya Ulaya inayotajwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Viongozi wa klabu acheni kuongoza kwa mazoea

Klabu zetu za Ligi Kuu mara kwa mara zimekuwa zikitafuta fedha kwa ajili ya kujiandaa, kwani zimekuwa zikipata fedha ambazo haziwatoshi kutoka kwa wadhamini wa Ligi Kuu Kampuni ya Vodacom.

 

11 years ago

Dewji Blog

Drogba arudisha majeshi klabu ya Chelsea kwa mkataba wa mwaka mmoja!

Didier-Drogba-Chelsea

Mshambuliaji wa Ivory Coast Didier Drogba amesaini mkataba wa mwaka mmoja kujiunga tena na Chelsea.

Drogba, 36, alishinda makombe 10 akiwa na Chelsea kuanzia mwaka 2004 hadi 2012, baada ya kuifungia timu hiyo mabao 157 katika mechi 341 na alikuwa mchezaji huru baada ya kuondoka klabu ya Galatasaray ya Uturuki.

Meneja Jose Mourinho, mapema alisema Stamford Bridge ni kama “kwake” mchezaji huyo.

Drogba ameiambia tovuti ya Chelsea kuwa: “Ulikuwa uamuzi rahisi- sikuweza kukataa nafasi ya kufanya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani