Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAANDALIZI YA KILIMANJARO MARATHONI YAPAMBA MOTO,KLABU YA RIADHA YA HOLILI YAPELEKA WANARIADHA WAKE MAZOEZINI KENYA

Mkurugenzi wa klabu ya riadha ya Holili (HYAC) Domician Genand akizungumza juu ya maandalizi ya mbio za kimataifa za Kilimanjaro Maratahoni kwa wanariadha wake ambao baadhi yao amewapeleka nchini Kenya kwa ajili ya mazoezi.Baadhi ya wanariadha walioko katika kambi ya klabu ya riadha ya Holili wakicheza Draft ambapo miongoni mwao yumo mkimbiaji wa Kimataifa ,Osward Levelian ambaye anajiandaa na Mbio za Marathoni kilometa 42 zitakazofanyika nchini Nchina hivi karibuni.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Hatua za mwisho za Maandalizi Mbio za Kilimanjaro Marathoni 2015

Mabango mbalimbali yakiwa yamewekwa maeneo mbalimbali ya mji wa Moshi kuashiria kuanza kwa shamrashamra za mbio za Kilimanjaro Marathoni.Baadhi ya wageni wakijiandikisha kukimbia mbio ndefu za kilometa 42 ambapo zoezi la uandikishaji linafanyika katika hotel ya Keys mjini Moshi.Washiriki wa mbio za Kilometa 21 zinazodhaminiwa na kampuni ya mawasiliano ya Tigo wakijiandikisha kwa ajili ya kupata namba maalumu wakati wa kukimbia mbio hizo. Baadhi ya wakimbiaji wakijaza fomu kwa ajili ya...

 

11 years ago

Michuzi

9 years ago

Habarileo

Maandalizi ya kumwapisha rais mpya yapamba moto

SERIKALI imeendelea kuandaa mazingira ya sehemu itakayotumika kwa ajili ya kumwapisha Rais mteule wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli. Maandalizi ya mazingira hayo yanaenda sambamba na mazoezi ya kijeshi kwa ajili ya gwaride maalumu, litakalofanyika wakati wa kuapishwa kwake katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Michuzi

Maandalizi Mkutano Mkuu CUF yapamba moto

Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na baadhi ya viongozi wa CUF, alipofika Blue Pearl Hotel kwa ajili ya kukagua ukumbi kwa ajili ya mkutano mkuu wa CUF utakaoanza tarehe 23/06/2014. Huu ndio ukumbi wetu wa mikutano Mzee, Afisa wa Hoteli ya Blue Pearl, Ubungo Plaza akimuonesha ukumbi huo Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad alipokwenda kuutembelea. Jengo la Hoteli ya Blue Pearl, Ubungo Plaza litakalotumika kwa ajili ya Mkutano Mkuu wa CUF kuanzia...

 

5 years ago

Michuzi

MAANDALIZI MASHINDANO YA GOFU LUGALO OPEN YAPAMBA MOTO



Na Luteni Selemani Semunyu

Maandalizi ya Mashindano ya TANAPA Lugalo Open yanaendelea vyema huku vilabu vyote Tanznaia vikithibitisha kushiriki katika mashindano hayo yanayotarajiwa kufanyika Ijumaa hadi Jumapili katika Klabu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchji wa Tanzania Jijini Dar es salaam.

Akizungumzia Maandaalizi hayo Nahodha wa Lugalo Kapteni Japhet Masai alisema Vilabu vilivyothibitisha ni Dar es Salaam Gymkana, Arusha Gymkhana, Morogoro Gymkhana, TPC Moshi, Kili Golf , Sea Criff ya...

 

11 years ago

Michuzi

MAANDALIZI YA MAONESHO YA TANZANIA WEEK YAPAMBA MOTO LUSAKA, ZAMBIA

MHESHIMIWA BALOZI  WA TANZANIA NCHINI ZAMBIA MHE GRACE MUJUNA (KATI)  NA MAAFISA WAKE WAKIWA KWENYE MKUTANO WA MAANDALIZI YA MAONESHO YA TANZANIA WEEK. KUTOKEA KUSHOTO HUDDY KIANGIA (AFISA FEDHA WA UBALOZI), MR. MUNATTA (AFISA MAWASILIANO WA UBALOZI), MHE GRACE MUJUMA (BALOZI), JUSTA NYANGE (MKUU WA UTAWALA WA UBALOZI) NA RICHARD LUPEMBE (COUNSELOR WA UBALOZI)

 

11 years ago

GPL

MAANDALIZI YA UTOAJI TUZO YA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 YAPAMBA MOTO

Ukumbi wa African Dreams uliopo Area D mkoani Dodoma litakapofanyika zoezi la utoaji tuzo ya Mwanamke Bora wa Mwaka 2013/2014 leo jioni. Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho (katikati) akiweka mambo sawa ndani ya ukumbi wa African Dreams. Kushoto Ofisa Masoko wa Global, Benjamin Mwanambuu na MC wa shughuli ya leo, George Urio…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani