Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maandalizi Mkutano Mkuu CUF yapamba moto

Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na baadhi ya viongozi wa CUF, alipofika Blue Pearl Hotel kwa ajili ya kukagua ukumbi kwa ajili ya mkutano mkuu wa CUF utakaoanza tarehe 23/06/2014. Huu ndio ukumbi wetu wa mikutano Mzee, Afisa wa Hoteli ya Blue Pearl, Ubungo Plaza akimuonesha ukumbi huo Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad alipokwenda kuutembelea. Jengo la Hoteli ya Blue Pearl, Ubungo Plaza litakalotumika kwa ajili ya Mkutano Mkuu wa CUF kuanzia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

CUF kinaendelea na maandalizi yake kwa ajili ya Mkutano Mkuu Taifa

Na Hassan Hamad (OMKR)
Chama Cha Wananchi CUF kinaendelea na maandalizi yake kwa ajili ya Mkutano Mkuu Taifa utakaoambatana na uchaguzi wa viongozi wakuu wa Kitaifa wa Chama hicho. Akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi kuu za Chama hicho Buguruni Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad amesema maandalizi yote ya msingi kwa ajili ya mkutano huo yamekamilika.  Maalim Seif amesema katika mkutano huo unaotarajiwa kufanyika tarehe 23 hadi 27 mwezi huu,...

 

11 years ago

Michuzi

9 years ago

Habarileo

Maandalizi ya kumwapisha rais mpya yapamba moto

SERIKALI imeendelea kuandaa mazingira ya sehemu itakayotumika kwa ajili ya kumwapisha Rais mteule wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli. Maandalizi ya mazingira hayo yanaenda sambamba na mazoezi ya kijeshi kwa ajili ya gwaride maalumu, litakalofanyika wakati wa kuapishwa kwake katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

 

5 years ago

Michuzi

MAANDALIZI MASHINDANO YA GOFU LUGALO OPEN YAPAMBA MOTO



Na Luteni Selemani Semunyu

Maandalizi ya Mashindano ya TANAPA Lugalo Open yanaendelea vyema huku vilabu vyote Tanznaia vikithibitisha kushiriki katika mashindano hayo yanayotarajiwa kufanyika Ijumaa hadi Jumapili katika Klabu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchji wa Tanzania Jijini Dar es salaam.

Akizungumzia Maandaalizi hayo Nahodha wa Lugalo Kapteni Japhet Masai alisema Vilabu vilivyothibitisha ni Dar es Salaam Gymkana, Arusha Gymkhana, Morogoro Gymkhana, TPC Moshi, Kili Golf , Sea Criff ya...

 

11 years ago

Michuzi

MAANDALIZI YA MAONESHO YA TANZANIA WEEK YAPAMBA MOTO LUSAKA, ZAMBIA

MHESHIMIWA BALOZI  WA TANZANIA NCHINI ZAMBIA MHE GRACE MUJUNA (KATI)  NA MAAFISA WAKE WAKIWA KWENYE MKUTANO WA MAANDALIZI YA MAONESHO YA TANZANIA WEEK. KUTOKEA KUSHOTO HUDDY KIANGIA (AFISA FEDHA WA UBALOZI), MR. MUNATTA (AFISA MAWASILIANO WA UBALOZI), MHE GRACE MUJUMA (BALOZI), JUSTA NYANGE (MKUU WA UTAWALA WA UBALOZI) NA RICHARD LUPEMBE (COUNSELOR WA UBALOZI)

 

11 years ago

GPL

MAANDALIZI YA UTOAJI TUZO YA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 YAPAMBA MOTO

Ukumbi wa African Dreams uliopo Area D mkoani Dodoma litakapofanyika zoezi la utoaji tuzo ya Mwanamke Bora wa Mwaka 2013/2014 leo jioni. Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho (katikati) akiweka mambo sawa ndani ya ukumbi wa African Dreams. Kushoto Ofisa Masoko wa Global, Benjamin Mwanambuu na MC wa shughuli ya leo, George Urio…

 

9 years ago

Michuzi

MAANDALIZI YA SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS MPYA DK. MAGUFULI YAPAMBA MOTO JIJINI DAR

 Kibanda cha kitakachotumika wakati wa kuapishwa kwa Rais Mteule, Dk John Magufuli kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kesho kutwa kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Askari wa Jeshi la Wananchi akiigiza kama Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Davis Mwamunyange na mwingine akiigiza kama Rais anayemaliza muda wake, Jakaya Kikwete wakati wa mazoezi ya sherehe za kuapishwa Rais wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli kwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani