Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAANDALIZI MASHINDANO YA GOFU LUGALO OPEN YAPAMBA MOTO



Na Luteni Selemani Semunyu

Maandalizi ya Mashindano ya TANAPA Lugalo Open yanaendelea vyema huku vilabu vyote Tanznaia vikithibitisha kushiriki katika mashindano hayo yanayotarajiwa kufanyika Ijumaa hadi Jumapili katika Klabu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchji wa Tanzania Jijini Dar es salaam.

Akizungumzia Maandaalizi hayo Nahodha wa Lugalo Kapteni Japhet Masai alisema Vilabu vilivyothibitisha ni Dar es Salaam Gymkana, Arusha Gymkhana, Morogoro Gymkhana, TPC Moshi, Kili Golf , Sea Criff ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MASHINDANO YA GOFU YA TANAPA LUGALO OPEN KUFANYIKA MACHI 14 NA 15 JIJINI DAR ES SALAAM.

Na Luteni Selemani Semunyu

Mwenyekiti wa Klabu ya Gofu ya Lugalo Brigedia Jenerali Mstaafu Michael Luwongo ametangaza mashindano ya Tanapa Lugalo Open yanatarajiwa kufanyika Machi 14 na 15 Mwaka huu katika Viwanja vya Lugalo Jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na Mwandishi wa hbari hizi Mwenyekiti huyo alisema masindano hayo yalikuwa yafanyike February 29 na Machi Mosi lakini kutokana na baadhi ya Maandalizi kutokamilika imelazimu sasa kusogeza mbele.

“ Tumesogeza mbele ili kutoa fursa ya...

 

5 years ago

Michuzi

Maandalizi ya Mashindano ya TANAPA Lugalo Open yanaendelea

Na Luteni Selemani SemunyuMAANDALIZI ya Mashindano ya TANAPA Lugalo Open yanaendelea vyema huku vilabu vyote Tanzania vikithibitisha kushiriki katika mashindano hayo yanayotarajiwa kufanyika Ijumaa hadi Jumapili katika Klabu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchji wa Tanzania Jijini Dar es salaam.
Akizungumzia Maandaalizi hayo Nahodha wa Lugalo Kapteni Japhet Masai alisema Vilabu vilivyothibitisha ni Dar es Salaam Gymkana, Arusha Gymkhana, Morogoro Gymkhana, TPC Moshi, Kili Golf , Sea Criff ya...

 

5 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE AFUNGA MASHINDANO YA GOFU KUENZI WANAWAKE LUGALO

Na Luteni  Selemani Semunyu

Mke wa Rais Mstaafu Mama Salma Kikwete amewataka wanawake nchi kusimama imara katika kujiendeleza katika nyanja mbali mbali ikiwemo michezo na kuliletea Taifa heshima bila kujali tofauti za jinsi walizonazo.

Aliyasema hayo wakati akifunga Mashindano ya kuadhimisha siku ya mwanamke duniani kwa mchezo wa Gofu katika yaliyofanyika Jana katika Uwanja wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania ya Lugalo Jijini Dar es Salaam.

Mama Salama alisema  licha ya michezo mingi...

 

10 years ago

Michuzi

Mashindano ya gofu NIC Corporate Lugalo Challenge 2015 kufanyika kesho viwanja vya TPDF

4Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Shirika la Bima la Taifa NIC Bi. Mwanaidi Shemweta akikabidhi zawadi kwa Japhet Masai Kapteni wa mchezo wa Gofu katika viwanja vya gofu vya TPDF Lugalo tayari kwa mashindano ya NIC Corporate Lugalo Challenge 2015 yanayofanyika kesho February 28 kuanzaia saa 7:00 asubuhi kwenye viwanja hivyo yakishirikisha wachezaji mbalimbali kutoka ndani na nje ya Tanzania.Mpaka sasa wachezaji 60 wameshathibitisha kushiriki katika mashindano hayo na wachezaji wengine...

 

11 years ago

Michuzi

9 years ago

Habarileo

Maandalizi ya kumwapisha rais mpya yapamba moto

SERIKALI imeendelea kuandaa mazingira ya sehemu itakayotumika kwa ajili ya kumwapisha Rais mteule wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli. Maandalizi ya mazingira hayo yanaenda sambamba na mazoezi ya kijeshi kwa ajili ya gwaride maalumu, litakalofanyika wakati wa kuapishwa kwake katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Michuzi

Maandalizi Mkutano Mkuu CUF yapamba moto

Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na baadhi ya viongozi wa CUF, alipofika Blue Pearl Hotel kwa ajili ya kukagua ukumbi kwa ajili ya mkutano mkuu wa CUF utakaoanza tarehe 23/06/2014. Huu ndio ukumbi wetu wa mikutano Mzee, Afisa wa Hoteli ya Blue Pearl, Ubungo Plaza akimuonesha ukumbi huo Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad alipokwenda kuutembelea. Jengo la Hoteli ya Blue Pearl, Ubungo Plaza litakalotumika kwa ajili ya Mkutano Mkuu wa CUF kuanzia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani