Mashindano ya gofu NIC Corporate Lugalo Challenge 2015 kufanyika kesho viwanja vya TPDF
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Shirika la Bima la Taifa NIC Bi. Mwanaidi Shemweta akikabidhi zawadi kwa Japhet Masai Kapteni wa mchezo wa Gofu katika viwanja vya gofu vya TPDF Lugalo tayari kwa mashindano ya NIC Corporate Lugalo Challenge 2015 yanayofanyika kesho February 28 kuanzaia saa 7:00 asubuhi kwenye viwanja hivyo yakishirikisha wachezaji mbalimbali kutoka ndani na nje ya Tanzania.Mpaka sasa wachezaji 60 wameshathibitisha kushiriki katika mashindano hayo na wachezaji wengine...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-_arPARyx-Vk/XlOqPJdq7lI/AAAAAAALe_o/qfOGUYIKezMetCfhilaQh_Yj3qaKtd8gQCLcBGAsYHQ/s72-c/1d17d89c-8de1-4eff-bf20-1b01fd79a45e.jpg)
MASHINDANO YA GOFU YA TANAPA LUGALO OPEN KUFANYIKA MACHI 14 NA 15 JIJINI DAR ES SALAAM.
Mwenyekiti wa Klabu ya Gofu ya Lugalo Brigedia Jenerali Mstaafu Michael Luwongo ametangaza mashindano ya Tanapa Lugalo Open yanatarajiwa kufanyika Machi 14 na 15 Mwaka huu katika Viwanja vya Lugalo Jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na Mwandishi wa hbari hizi Mwenyekiti huyo alisema masindano hayo yalikuwa yafanyike February 29 na Machi Mosi lakini kutokana na baadhi ya Maandalizi kutokamilika imelazimu sasa kusogeza mbele.
“ Tumesogeza mbele ili kutoa fursa ya...
10 years ago
Dewji Blog08 Dec
Benki ya Exim yadhamini michuano ya Gofu kwa maafisa watendaji wakuu kutoka makampuni mbalimbali viwanja vya Lugalo
Meneja Msaidizi wa Uwekezaji na Biashara Kubwa wa Benki ya Exim, Thobius Samwel (wa kwanza kushoto) akitoa maelezo juu ya huduma za kibenki zitolewazo na benki yake kwa washiriki wa shindano la Gofu liloandaliwa kwa watendaji wakuu wa makampuni mbali mbali jijini Dar es Salaam lililofanyika katika viwanja vya Gofu vya Lugalo, mwishoni mwa wiki jijini Dar Es Salaam. Kushoto ni Afisa Mauzo, wa benki hiyo Bw. Ishaq Samailla. Benki ya Exim ilikuwa miongoni mwa wadhamini.
Meneja Msaidizi wa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-OhSap3uwR3c/XmjrOiz4MAI/AAAAAAALin8/9DAp6VPqnQwdS0grr1Z37VCCiLOvQGHLQCLcBGAsYHQ/s72-c/1d17d89c-8de1-4eff-bf20-1b01fd79a45e.jpg)
MAANDALIZI MASHINDANO YA GOFU LUGALO OPEN YAPAMBA MOTO
![](https://1.bp.blogspot.com/-OhSap3uwR3c/XmjrOiz4MAI/AAAAAAALin8/9DAp6VPqnQwdS0grr1Z37VCCiLOvQGHLQCLcBGAsYHQ/s640/1d17d89c-8de1-4eff-bf20-1b01fd79a45e.jpg)
Na Luteni Selemani Semunyu
Maandalizi ya Mashindano ya TANAPA Lugalo Open yanaendelea vyema huku vilabu vyote Tanznaia vikithibitisha kushiriki katika mashindano hayo yanayotarajiwa kufanyika Ijumaa hadi Jumapili katika Klabu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchji wa Tanzania Jijini Dar es salaam.
Akizungumzia Maandaalizi hayo Nahodha wa Lugalo Kapteni Japhet Masai alisema Vilabu vilivyothibitisha ni Dar es Salaam Gymkana, Arusha Gymkhana, Morogoro Gymkhana, TPC Moshi, Kili Golf , Sea Criff ya...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-wljyJXawgIw/XmU0t_S1naI/AAAAAAALh_0/b3corPBjGOYBUUuRGIO9DXdHbs41J-73wCLcBGAsYHQ/s72-c/3.jpg)
MAMA SALMA KIKWETE AFUNGA MASHINDANO YA GOFU KUENZI WANAWAKE LUGALO
Mke wa Rais Mstaafu Mama Salma Kikwete amewataka wanawake nchi kusimama imara katika kujiendeleza katika nyanja mbali mbali ikiwemo michezo na kuliletea Taifa heshima bila kujali tofauti za jinsi walizonazo.
Aliyasema hayo wakati akifunga Mashindano ya kuadhimisha siku ya mwanamke duniani kwa mchezo wa Gofu katika yaliyofanyika Jana katika Uwanja wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania ya Lugalo Jijini Dar es Salaam.
Mama Salama alisema licha ya michezo mingi...
9 years ago
VijimamboMAZISHI YA DK.EMMANUEL MAKAIDI KUFANYIKA MAKABURI YA SINZA, MWILI WAKE KUAGWA KESHO ASUBUHI VIWANJA VYA KARIMJEE JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
GPLMWILI WA KIMARIO WAAGWA VIWANJA VYA LUGALO DAR
9 years ago
Dewji Blog21 Sep
Maadhimisho ya siku ya watu na watoto wenye mtindio wa Ubongo kufanyika Oktoba 7, 2015 viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wazazi wa Watoto wenye Ulemavu wa Mtindio wa Ubongo, Akili na Viungo Tanzania (Chawaumavita), Hillar Said (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu Maadhimisho ya Siku ya Watu, Watoto wenye mtindio wa ubongo yatakayofanyika, Oktoba 7, 2015 viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu wa chama hicho, Mwanahamisi Hussein.
Katibu wa chama hicho, Mwanahamisi Hussein (kulia), akizungumza...
9 years ago
VijimamboMAADHIMISHO YA SIKU YA WATU NA WATOTO WENYE MTINDIO WA UBONGO KUFANYIKA OKTOBA 7, 2015 VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-nUG5sEgOjQ8/VgIZxGSTfhI/AAAAAAAH608/LpKw9GjlQWw/s72-c/st.Joseph.jpg)
St. Joseph & Forodhani ALUMNI kufanyika Jumamosi hii Septemba 26, 2015 viwanja vya St Joseph Cathedral High School jijini Dar es salaam
![](http://4.bp.blogspot.com/-nUG5sEgOjQ8/VgIZxGSTfhI/AAAAAAAH608/LpKw9GjlQWw/s320/st.Joseph.jpg)
St Joseph &Forodhani ALUMNI imeandaa “reunion” mkutano wa pamoja siku ya Jumamosi tarehe 26 September kwa wanafunzi...