Viongozi wa klabu acheni kuongoza kwa mazoea
Klabu zetu za Ligi Kuu mara kwa mara zimekuwa zikitafuta fedha kwa ajili ya kujiandaa, kwani zimekuwa zikipata fedha ambazo haziwatoshi kutoka kwa wadhamini wa Ligi Kuu Kampuni ya Vodacom.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo17 Dec
Acheni kufanyakazi kwa mazoea-Ummy
SERIKALI imewataka watumishi wa sekta ya afya nchini kutofanya kazi kwa mazoea na badala yake kufanya kazi kwa bidii na uadilifu ili kufikia malengo yaliyowekwa. Hatua hiyo inaelezwa itasaidia kurahisisha maendeleo ya kijamii na kiuchumi kwa wananchi kwa kutoa huduma bora na zinazofikiwa kwa wakati.
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Bilionea wa 24 Afrika atoa siku tatu kwa viongozi wa klabu ya Simba kuhusu bilioni 20 zake …
Baada ya stori nyingi kuingia katika headlines kwa siku za hivi karibuni kuhusu uamuzi wa moja kati ya mabilionea wa Afrika kutaka kuinunua klabu ya Simba, mengi yameandikwa na mengi yameongewa. kuhusu Mohamed Dewji maarufu kama MO ambaye amewahi kutajwa na jarida la Forbes kuwa ni bilione wa 24 Afrika kutaka kuinunua Simba. Ikiwa ni […]
The post Bilionea wa 24 Afrika atoa siku tatu kwa viongozi wa klabu ya Simba kuhusu bilioni 20 zake … appeared first on TZA_MillardAyo.
11 years ago
Habarileo07 Oct
'Viongozi wa dini acheni siasa'
KAMANDA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Arusha, Philemon Mollel amewataka viongozi wa madhehebu ya dini nchini kuacha kujiingiza kwenye masuala ya kisiasa badala yake wahubiri amani.
11 years ago
Habarileo12 Mar
‘Viongozi wa vyama acheni malumbano’
VIONGOZI wa vyama vya siasa nchini, wametakiwa kuacha malumbano ndani ya vyama vyao hali inayoathiri jamii hususani taasisi za dini. Hayo yalisemwa jana na Kiongozi wa baraza la mashehe wilaya ya Arumeru, Haruna Husein wakati akizungumza katika kongamano la kuchangia fedha kwa ajili ya Radio Umoja FM lililofanyika mjini hapa.
11 years ago
Habarileo30 Aug
JK- Viongozi acheni udalali wa ardhi
RAIS Jakaya Kikwete amewaonya viongozi wa ngazi mbalimbali nchini, wakiwemo wa Halmashauri kuacha mara moja tabia ya kujigeuza kuwa madalali wa kuuza mapori ya ardhi, bali wazingatie suala la umuhimu wa kuweka akiba kwa ajili ya vizazi vijavyo.
11 years ago
Habarileo11 Jul
'Viongozi wa dini acheni kugawa waumini'
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Uwezeshaji na Uwekezaji, Dk Merry Nagu ameasa viongozi wa dini zote nchini, kutowagawa waumini wao kwa misingi ya vyama vyao.
11 years ago
Habarileo14 Jul
'Viongozi CCM acheni kuwaza urais'
VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Zanzibar wametakiwa kuacha kuwaza kinyang’anyiro cha urais mwakani badala yake waelekeze nguvu zaidi katika kazi ya kutafuta wapiga kura wapya kuhakikisha chama hicho kinashinda uchaguzi mkuu ujao.
11 years ago
Tanzania Daima08 Apr
TUCTA: Viongozi acheni uchu wa madaraka
VIONGOZI ndani ya serikali wa taasisi mbalimbali wametakiwa kuacha uchu wa madaraka, badala yake wajifunze kwa waasisi wa taifa la Tanzania. Kauli hiyo ilitolewa na Katibu wa Shirikisho la Vyama...
11 years ago
Habarileo04 Apr
Sumaye: Viongozi Afrika acheni utegemezi
WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amewataka viongozi wa Afrika, kuacha tabia ya kutegemea nchi tajiri, kugharimia mipango ya maendeleo zao. Badala yake, ametaka viongozi wawe wabunifu wa kuandaa mipango ya kuondoka kwenye utegemezi uliokithiri.