Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Acheni kufanyakazi kwa mazoea-Ummy

SERIKALI imewataka watumishi wa sekta ya afya nchini kutofanya kazi kwa mazoea na badala yake kufanya kazi kwa bidii na uadilifu ili kufikia malengo yaliyowekwa. Hatua hiyo inaelezwa itasaidia kurahisisha maendeleo ya kijamii na kiuchumi kwa wananchi kwa kutoa huduma bora na zinazofikiwa kwa wakati.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Viongozi wa klabu acheni kuongoza kwa mazoea

Klabu zetu za Ligi Kuu mara kwa mara zimekuwa zikitafuta fedha kwa ajili ya kujiandaa, kwani zimekuwa zikipata fedha ambazo haziwatoshi kutoka kwa wadhamini wa Ligi Kuu Kampuni ya Vodacom.

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI UMMY MWALIMU AWATAKA WATUMISHI WA SEKTA YA AFYA KUTOFANYA KAZI KWA MAZOEA

Habari na picha na Ismail Ngayonga - MAELEZOSERIKALI imewataka watumishi wa sekta ya afya nchini kutofanya kazi kwa mazoea na badala yake kufanya kazi kwa bidii na uadilifu ili kufikia malengo yaliyowekwa. Hatua hiyo inaelezwa itasiaidia kurahisisha maendeleo ya kijamii na kiuchumi kwa wananchi kwa kutoa huduma bora na zinazofikiwa kwa wakati. Akifungua mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa iliyokuwa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na...

 

11 years ago

Habarileo

Mambo ya Ndani washauriwa kufanyakazi kwa weledi

Mathias ChikaweWAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe amewaasa wafanyakazi wa taasisi zilizo chini ya wizara hiyo kuhakikisha wanafanya kazi kwa weledi ili kufikia malengo waliyojiwekea.

 

11 years ago

KwanzaJamii

Chanzo ya malaria kufanyakazi kwa asilimia 100

Wakati vifo zaidi ya 700,000 vitokanavyo na Malaria vikitokea ukanda wa Jangwa la Sahara kila mwaka wanasayansi wa Taasisi ya Afya ya Ifakara (IHI) wakishirikiana na kampuni ya Marekani wameanza majaribio ya chanjo mpya inayotarajiwa kuzuia malaria kwa asilimia 100. Awali majaribio ya chanjo hiyo iitwayo Sanaria PfSPZ yalifanyika Marekani na kudaiwa kuwa watu sita wasiougua malaria walijaribiwa na ilifanikiwa kwa asilimia 100 baada ya wote kutoambukizwa ugonjwa huo. Watu hao sita kutoka...

 

11 years ago

Michuzi

Wafanyakazi Wizara ya Fedha waaswa kufanyakazi kwa bidii na kujituma

Na Eleuteri Mangi- MAELEZO
Wafanyakazi Wizara ya Fedha wameaswa kufanyakazi kwa bidii na kujituma kwa moyo ili kukuza uchumi wa nchi na taifa liweze kusonga mbele na kufikia malengo yake. 
Kauli hiyo imetolewa na Mgeni Rasmi ambaye pia ni Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum wakati wa kufungua mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa wizara hiyo hivi karibuni jijini Dar es salaam.
“Mnapokuwa kwenye mkutano wenu mjadili bajeti bila kuwa na woga kwa kutumia weledi wenu mlionao na kutoa ushauri...

 

9 years ago

Dewji Blog

MAAFISA WA TUME YA UCHAGUZI: Watakiwa kufanyakazi zao kwa kuzingatia Sheria na taratibu!

SAM_0040

baadhi ya washiriki wa mafunzo ya siku mbili kwa maafisa wa tume ya uchaguzi yaliyofanyika katika shule ya msingi Ikungi mchanganyiko 

Na.Jumbe Ismailly.

[Ikungi-SINGIDA] Mkuu  wa wilaya ya Ikungi,Mkoani Singida ametoa wito kwa maafisa wa tume ya uchaguzi ngazi ya kata kuhakikisha viongozi watakaopatikana katika uchaguzi mkuu ujao wa Rais,wabunge na madiwani ni wale ambao wanatakiwa na wananchi na siyo wanaotakiwa na viongozi wa vyama vya siasa.

Wito huo umetolewa na Mkuu wa wilaya ya...

 

11 years ago

GPL

UNAISHI KWA MAZOEA? SHAURI YAKO!

HayaHAYA, tumekutana tena kupeana mawili matatu kuhusiana na maisha yetu ya kila siku. Kwa kweli wanawake kuishi kwa mazoea kumekuwa kukiongeza nyumba ndogo kila kukicha. Leo nataka nikupashe upashike kosa lako la kuishi kimazoea kumefanya mapenzi yapungue ndani ya nyumba nyingi.
Nyumba nyingi siku hizi zimepoteza mapenzi ya zamani kufikia hatua ya kuonana kaka na dada, kinachotofautisha ni makutano ya kimwili lakini zaidi ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM acheni kupiga mayowe, acheni wananchi waamue

MAPENDEKEZO ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba inayoongozwa na  Jaji Joseph Warioba, yanaonekana kuwatia kiwewe baadhi ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliopo visiwani Zanzibar. Ukizisikiliza kauli zao juu...

 

10 years ago

Michuzi

Tuache kufanya kazi kwa mazoea - Kairuki

Katibu Mkuu Mstaafu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Fanuel Mbonde akijaribu baiskeli ya mazoezi aliyokabiodhiwa kama zawadi katika hafla ya kuwapongeza watumishi wa Wizara waliostaafu iliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angellah Kairuki na kulia ni Katibu Mkuu Bi. Maimuna Tarishi. Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angellah Kairuki (kushoto) akimkabidhi zawadi Mtunza Kumbukumbu Mstaafu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bi....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani