UNAISHI KWA MAZOEA? SHAURI YAKO!
![](http://api.ning.com:80/files/MOC7BqAcxPsVV6mDOlzVUDDffgvwZ00fR1-Ci7Bw*WrUv-XgMAhv0kBFD8fPSFtme1tfcTI-fZ0X2X*lXKSGxCU8ZGmqdjEu/romantic_girl2560x1600.jpg?width=650)
HayaHAYA, tumekutana tena kupeana mawili matatu kuhusiana na maisha yetu ya kila siku. Kwa kweli wanawake kuishi kwa mazoea kumekuwa kukiongeza nyumba ndogo kila kukicha. Leo nataka nikupashe upashike kosa lako la kuishi kimazoea kumefanya mapenzi yapungue ndani ya nyumba nyingi. Nyumba nyingi siku hizi zimepoteza mapenzi ya zamani kufikia hatua ya kuonana kaka na dada, kinachotofautisha ni makutano ya kimwili lakini zaidi ya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi24 Apr
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/jXeKkzH4PsE/default.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dM6a4AYRwJPeWUIaFYcI6nImKgxiBI7iu7-aRwTV10hIoiXYsOzO4ew7t7sXaA4OgAbA90w0vuK3xnZInGgUGAi0la-Rq7X*/mahaba.jpg?width=650)
HAUMUAMINI, UNAISHI NAYE KWA MACHALE, MAANA YAKE NINI? JIONGEZE!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/V0EnpUkUMSVKNVakYPU4KKZRCLIcET*WonEaQzofqfJcWpZurcdt64KJpJaTwqA-4U9ir7B1Ow4fv63ppGJIoqy65gaIAQu2/MAHABA.gif?width=650)
HAUMUAMINI, UNAISHI NAYE KWA MACHALE, MAANA YAKE NINI? JIONGEZE!-2
9 years ago
Habarileo17 Dec
Acheni kufanyakazi kwa mazoea-Ummy
SERIKALI imewataka watumishi wa sekta ya afya nchini kutofanya kazi kwa mazoea na badala yake kufanya kazi kwa bidii na uadilifu ili kufikia malengo yaliyowekwa. Hatua hiyo inaelezwa itasaidia kurahisisha maendeleo ya kijamii na kiuchumi kwa wananchi kwa kutoa huduma bora na zinazofikiwa kwa wakati.
10 years ago
Dewji Blog24 Dec
Kairuki: Tuache kufanya kazi kwa mazoea
Katibu Mkuu Mstaafu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Fanuel Mbonde akijaribu baiskeli ya mazoezi aliyokabiodhiwa kama zawadi katika hafla ya kuwapongeza watumishi wa Wizara waliostaafu iliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angellah Kairuki na kulia ni Katibu Mkuu Bi. Maimuna Tarishi.
Na Mwandishi Wetu
Watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria wakumbushwa kuwa chachu ya mabadiliko katika utumishi wa umma na kuondokana na utendaji...
11 years ago
Mwananchi14 Jan
Viongozi wa klabu acheni kuongoza kwa mazoea
10 years ago
MichuziTuache kufanya kazi kwa mazoea - Kairuki
10 years ago
Mwananchi26 Jan
Tatizo letu ni kufanya kazi kwa mazoea