Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tatizo letu ni kufanya kazi kwa mazoea

Ninakumbuka nilisema wiki jana kuwa tatizo letu kubwa linalotusumbua Watanzania  ni  kupenda zaidi kusema, lakini siyo watendaji.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Tuache kufanya kazi kwa mazoea - Kairuki

Katibu Mkuu Mstaafu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Fanuel Mbonde akijaribu baiskeli ya mazoezi aliyokabiodhiwa kama zawadi katika hafla ya kuwapongeza watumishi wa Wizara waliostaafu iliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angellah Kairuki na kulia ni Katibu Mkuu Bi. Maimuna Tarishi. Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angellah Kairuki (kushoto) akimkabidhi zawadi Mtunza Kumbukumbu Mstaafu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bi....

 

10 years ago

Dewji Blog

Kairuki: Tuache kufanya kazi kwa mazoea

Sheria 1

Katibu Mkuu Mstaafu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Fanuel Mbonde akijaribu baiskeli ya mazoezi aliyokabiodhiwa kama zawadi katika hafla ya kuwapongeza watumishi wa Wizara waliostaafu iliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angellah Kairuki na kulia ni Katibu Mkuu Bi. Maimuna Tarishi.

Na Mwandishi Wetu

Watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria wakumbushwa kuwa chachu ya mabadiliko katika utumishi wa umma na kuondokana na utendaji...

 

11 years ago

Mwananchi

MAONI: Polisi waache kufanya kazi kwa mazoea

>Mojawapo ya habari kubwa ambazo zimetawala vyombo mbalimbali vya habari kwa siku za karibuni ni matukio mengi ya uhalifu katika maeneo mbalimbali nchini ikiwamo Dar es Salaam.

 

9 years ago

Michuzi

MAAFISA MAGEREZA NCHINI WAMETAKIWA KUACHA KUFANYA KAZI KWA MAZOEA

 Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya ndani ya nchi, Mhe. Mbarak Abdulwakil akihutubia kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza uliofanyika leo Desemba 16, 2015 katika Ukumbi wa Bwalo Kuu la Maafisa Magereza,Ukonga jijini Dar es Salaam. Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza kutoka vituo mbalimbali hapa nchini wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi kama wanavyoonekana. Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya ndani ya nchi, Mhe. Mbarak Abdulwakil akiwa katika picha ya pamoja na...

 

9 years ago

Dewji Blog

MODEWJIBLOG: Watanzania tuache kufanya kazi kwa Mazoea, Rais Dk.Magufuli tembelea na huku!

mg1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli alipotembelea kwa mara ya kwanza Wizara ya Fedha, safari ambayo ilikuwa ni ya ghafla.

Na. Andrew Chale, Modewjiblog

[TANZANIA] Kwa sasa kila zungumzo la Mtanzania ni juu ya safari za kushtukiza za Rais wa awamu ya tano, Mh. Rais Dk. John Pombe Magufuli ambaye ameacha gumzo kwa kuanza kwa kishindo na dhana yake ya ‘Hapa Kazi Tu’!.. Kwa kutuonjesha tu,  ametembelea Wizara ya Fedha safari ya kushtukiza na kuamsha hali ya utendaji wa...

 

10 years ago

Vijimambo

ZIARA YA MKUU WA MKOA GEITA WILAYANI MBOGWE AWATAKA WACHE KUFANYA KAZI KWA MAZOEA

 Mkuu wa wilaya ya Bukombe mkoani Geita Amani Mwinyigoha akisoma taarifa ya wilaya ya mbogwe kwa niaba ya mkuu wa wilaya hiyo . Baadhi ya watumishi wa Halimashauri ya mbogwe wakisikiliza hotuba ya mkuu wa mkoa wa geita Fatuma mwassa wakati wa kukangua na kuangalia maendeleo ya wilaya yake ambayo ipo katika mkoa wake. Mwenye sharti la dalfti muandisi wa maji Daud Amlima akitoa maelenzo juu ya mradi wa maji katika kijiji cha sheda wilayani mbogwe mkoani geita ambapo alifanya ziara ya siku...

 

10 years ago

Mwananchi

Kwa heri Nooij, lakini tatizo letu wachezaji

Watanzania ni hodari wa kuwashutumu makocha, walifanya hivyo kwa Marcio Maximo wakimwambia Mbrazili huyo aliwaacha meishiwa kwa kushindwa kumwacha Juma Kaseja, Athuman Idd na Haruna Moshi ‘Boban’ na kwamba hiyo kuwa ndiyo sababu ya Taifa Stars kushindwa kufuzu kwa fainali Afcon 2010, akatimuliwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Namna ya kukabiliana na tatizo la moyo kushindwa kufanya kazi

>Magonjwa ya moyo yameshika kasi hapa nchini kiasi cha kutishia uhai wa watu wengi.

 

10 years ago

StarTV

Serikali yaonya watumishi wanaofanya kazi kwa mazoea.

Na Wilson Elisha,

Magu Mwanza.

 

Serikali imewaonya watumishi kuacha kufanya kazi kwa mazoea na badala yake wawajibike kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu za kiutumishi.

 

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo ametoa onyo hilo wilayani Magu wakati akizungumza na watumishi wa sekta mbalimbali ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa ziara yake mkoani Mwanza.

 

Kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Magesa Mlongo wakati akizungumza na watumishi wa wilaya ya Magu.

 

Amesema Serikali haiwezi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani