COAST MODERN TAARAB KUPAGAWISHA MSATA
![](http://2.bp.blogspot.com/-bfFIPnyyIMU/VHVJQdhtOXI/AAAAAAAGzZ0/B4ciLF84NEA/s72-c/PC130060.jpg)
Na Mwandishi Wetu, KibahaBENDI ya Muziki wa Taarabu ya Coast Modern Taarab ya Jijini Dar es Salaam inatarajia kutoa burudani Novemba 27 mwaka huu kwenye mji wa Msata wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani.Akizungumza na waandishi wa habari mjini Kibaha mkurugenzi wa ukumbi itakapofanyika onyesho hilo, Msukuma Pub Msukuma Mwinzarubi alisema kuwa maandalizi yamekamilika.Mwinzarubi alisema kuwa burudani hiyo itaongozwa na gwiji wa taarabu Jokha Kassim ambaye anatamba na kibao chake cha Domo la...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLDAR MODERN TAARAB YATINGA GLOBAL TV ONLINE
10 years ago
GPLON POINT SOLUTION KUIBEBA DAR MODERN TAARAB
11 years ago
Michuzi21 Feb
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/46tOWY2hpVg/default.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3I-9LvQkoORlssLOhJAhrf1VxvJgRV*OxpChSWD7eq6aChocKzivBFxazYLUo-UcKiguRXtkUu2mXL8W4YNf83AQySaZPr3U/moden.jpg?width=640)
JAHAZI MODERN TAARAB KUPELEKA UTAMBULISHO WA NYIMBO MPYA MOROGORO
11 years ago
GPLJAHAZI MODERN TAARAB WAFUNIKA DAR LIVE SIKUKUU YA IDD MOSI
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-n2f5yZnGBds/U94IHe9aWlI/AAAAAAAF8ls/cg_kfVdKQTw/s72-c/unnamed+(19).jpg)
OLD IS GOLD NA SPICE MODERN TAARAB KUFUNIKA NDANI YA SAFARI CARNIVAL LEO
![](http://1.bp.blogspot.com/-n2f5yZnGBds/U94IHe9aWlI/AAAAAAAF8ls/cg_kfVdKQTw/s1600/unnamed+(19).jpg)
Kwa kiingilio cha sh 5000 tu, kuanzia saa mbili usiku mpaka majogoo.Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Fabak Fashions, Asia Idarous Khamsin, ambao ni miongoni mwa wadhamini wa onyesho hilo, amewasihi wadau kujitokeza kwa wingi kuuenzi usiku huo kwa...
10 years ago
GPL27 Dec
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-S_WMcEMRlZo/VJ8UOJghQ3I/AAAAAAAG6EM/kXwgGVUIewI/s72-c/download.jpg)
Usiku wa Old is Gold warejea Safari Carnival, Spice Modern Taarab kuendeleza makali
![](http://4.bp.blogspot.com/-S_WMcEMRlZo/VJ8UOJghQ3I/AAAAAAAG6EM/kXwgGVUIewI/s1600/download.jpg)