Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ON POINT SOLUTION KUIBEBA DAR MODERN TAARAB

Baadhi ya waimbaji wa kundi hilo baada ya mkutano na wanahabari. Waimbaji nyota wa kundi hilo, Mossy Suleiman (kushoto) na Asnaty Mlamali. Wanahabari wakiwa kazini.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

DAR MODERN TAARAB YATINGA GLOBAL TV ONLINE

Waimbaji wa Kundi la Dar Modern Taarab wakiwa tayari kwa mahojiano. Kiongozi wa kundi la Dar Modern Taarab, Hassan Vocha akisikiliza swali kutoka kwa waandishi (hawapo pichani). Dar Modern Taarab wakiwa katika picha ya pamoja baada ya mahojiano na Global TV.…

 

11 years ago

GPL

JAHAZI MODERN TAARAB WAFUNIKA DAR LIVE SIKUKUU YA IDD MOSI

Waimbaji wa kundi la Jahazi Morden Taarab wakiwa jukwaani wakati wakifanya yao katika sikukuu ya Idd, Dar Live. Mashabiki kibao wakiwa wamejazana mbele ya steji…

 

10 years ago

Michuzi

COAST MODERN TAARAB KUPAGAWISHA MSATA

Na Mwandishi Wetu, KibahaBENDI ya Muziki wa Taarabu ya Coast Modern Taarab ya Jijini Dar es Salaam inatarajia kutoa burudani Novemba 27 mwaka huu kwenye mji wa Msata wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani.Akizungumza na waandishi wa habari mjini Kibaha mkurugenzi wa ukumbi itakapofanyika onyesho hilo, Msukuma Pub Msukuma Mwinzarubi alisema kuwa maandalizi yamekamilika.Mwinzarubi alisema kuwa burudani hiyo itaongozwa na gwiji wa taarabu Jokha Kassim ambaye anatamba na kibao chake cha Domo la...

 

11 years ago

GPL

JAHAZI MODERN TAARAB KUPELEKA UTAMBULISHO WA NYIMBO MPYA MOROGORO

KUNDI la Jahazi Modern Taarab limefafanua ni kwanini limeamua kuuchagua mji wa Morogoro kama kituo chao cha kwanza cha kutambulishia nyimbo zao mpya zitakazounda albam yao mpya ijayo. Jahazi wanatagemewa kufanya onyesho maalum Morogoro kwaajili ya kuwaonyesha nyimbo mpya mashabiki wao Ijumaa ya tarehe 31 mwezi huu ndani ya ukumbi wa Tanzanite Complex. Jana kiongozi wa Jahazi Modern Taraab Mohamed Mauji alifanya mahojiano na...

 

11 years ago

Michuzi

OLD IS GOLD NA SPICE MODERN TAARAB KUFUNIKA NDANI YA SAFARI CARNIVAL LEO

WAPENZI wa nyimbo za zamani za taarabu asilia nchini, leo wanatarajiwa kupata burudani safi na ya aina yake  kutoka kundi la Spice Modern Taarab,  ndani ya ukumbi wa  Safari Carnival uliopo Kawe, (opposite) na Clouds fm katika gate la kuingilia Escape 1.
Kwa kiingilio cha sh 5000 tu, kuanzia saa mbili usiku mpaka majogoo.Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Fabak Fashions, Asia Idarous Khamsin, ambao ni miongoni mwa wadhamini wa onyesho hilo, amewasihi wadau kujitokeza kwa wingi kuuenzi usiku huo kwa...

 

10 years ago

Michuzi

Usiku wa Old is Gold warejea Safari Carnival, Spice Modern Taarab kuendeleza makali

Na Andrew Chale USIKU wa ‘Old Is Gold’ na Spice Modern Taarab, unatarajiwa kurindima  usiku wa Desemba 28, Mwaka huu ndani ya   ukumbi wa Safari Carnival uliopo Mikocheni B, jijini Dar es Salaam.Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Fabak Fashions, Asia Idarous Khamsin, mwandaaji na mdhamini wa onyesho hilo,  mashabiki  wa Old Is Gold watapata burudani ya aina yake katika kiota hicho cha burudani kila jumapili kukumbushana enzi.

“Kwa kiingilio cha sh 5,000 tu, wadau watafurahia shoo kabambe kutoka kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani